Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

Kubreak Cycle of Poverty kwenye Ukoo wenu au familia itakayokufata uwe na mali ata least Robo ya MO[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio hela za kulaa wali kuku sijuii kununia kigari kimojaaaa... Yani uwe na mali kweliii na ubaya ukiwa na mali nyingi kizazi kitakachofata kwako watarelax ndo ubaya wa waafrikaa yani watajisahau kabisaa kuwa inabadi wakaze wamaintain utajiri walioukutaa mwisho wa siku ukoo unarudi kwenye umaskini.. Vicious circle of Poverty kuvunjaa hiyo ring ni nomaaaa.. kibongo bongo wew tafuta vimali vyako ambazo zitawasaidia watoto wako angalau wajue wanaanzia wapi then saidia wazazi wako kafiee mbeleeeee ila U CANT CHANGE UKOO WAKO.
 
  • Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
  • Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
  • Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela, lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale; ile circle ya umasikini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?

View attachment 2493306
Picha kutoka maktaba
Familia au koo yoyote ni mfumo (system) usioonekana na huo mfumo umetengenezwa ili matokeo aina fulani yatokee. Na hayo matokeo ndio utambulisho wa hiyo jamii au koo. Mifano uliyotoa hapo juu hayo ni matokeo ya hiyo mifumo. Hiyo mifumo ina umuhimu na hasara zake. Umuhimu mojawapo ni kuhakikisha tunaishi na kutoa utambulisho wa familia fulani, sababu huo mfumo ndio uliokukuza na ndio uliokusabishia uwe na mawazo fulani mengine ya hayo mawazo yanapinga mfumo. Kwenye hasara ndo apo, kupata matokeo usiyoyataka, unakuwa na mawazo mengine lakini mfumo bado unakuvuta kubaki vile vile mana hujui mifumo mingine ikoje, ina sheria gani na inafanyaje kazi ndo mana waswahili wakaja misemo kama heri shetani akujuaye.
.
Kwenye kutaka kubadilika sasa, itakubidi ubadili mfumo, jambo ambalo huwezi lifanya ghafla maana kitu kipo tayari na watu wamekizoea (ukizoea kitu haijalishi kinakupa matokeo mabaya au mazuri, lazima utakifanya tu). Njia nyingine ambayo wengi hufanya ni njia ya wewe kuanza kubadilika yani unaingia kwenye mfumo mpya. Unapoingia kwenye mfumo mpya maana yake kwa wengine waliokwenye mfumo uliotoka wanatafsiri umesema "huo mfumo wenu siutaki, na ni mbaya", japo unaweza kuwa na lengo zuri tu. Hivyo watajisikia vibaya na kukutenga au ndo utasikia yale maneno kama 'yule anajisikia sana'.
.
Basi na wewe utaanza kujisikia vibaya na kwa kuwa mfumo mpya haujauzoea labda umejifunza kwa miaka 20 tu wakati mfumo uliotoka una zaidi ya miaka 100 utaanza kuwa na wasi wasi juu yako kama utaweza kuendelea na huo mfumo mpya, alafu taratibu unajikuta unalegeza mfumo wako mpya ili ndugu zako, wazazi wako na jamaa zako wasikutenge Hakuna binadamu anayependa kutengwa, hasa na watu wake wa karibu. Kwa kuhofia kutengwa haba na haba unajikuta umerudi mzima mzima kwenye mfumo wa zamani.
.
Njia nzuri ni kutambua mfumo uliopo, alafu chagua mfumo ambao utakupa matokeo unayohitaji kisha uanze. Kisha tafuta watu waliopo katika huo mfumo mpya unaoutaka na ukae nao sana, alafu watu wako wakaribu usiwaruhusu wakurudishe nyuma. Cha muhimu jipe muda.
 
Mkuu ungesema "poor mentality" sio "poverty mentality" that's poor English tofautisha naun and adjective....poor ni neno povert ni kitendo cha kua poor.
another clear sign of a person with a poverty mentality, is his/her illogical way of thinking.
 
Ukikaa na waliofanikiwa kisha wakaamua kutokuwa wachoyo wa njia zao kwako utayajua mengi sana, kwa bahati mbaya wengi wao huficha na kuamua kuja na ngonjera ambazo zitafanya jamii iwakubali badala ya kuwaogopa.

Hapo ndo utasikia matajiri wanakupa ngonjera zao za uongo, eti sali sana, fanya kazi kwa bidii na mentality[emoji23].

Kuna watu wamefanya kazi kwa bidii tangu ujana wao mpaka sasa wanazeeka hawana hata 10M benki.
Whats the fuvking secret acha ku bit around the bush hueleweki siri ni nn [emoji34][emoji34][emoji34]
 
Kubreak Cycle of Poverty kwenye Ukoo wenu au familia itakayokufata uwe na mali ata least Robo ya MO[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio hela za kulaa wali kuku sijuii kununia kigari kimojaaaa... Yani uwe na mali kweliii na ubaya ukiwa na mali nyingi kizazi kitakachofata kwako watarelax ndo ubaya wa waafrikaa yani watajisahau kabisaa kuwa inabadi wakaze wamaintain utajiri walioukutaa mwisho wa siku ukoo unarudi kwenye umaskini.. Vicious circle of Poverty kuvunjaa hiyo ring ni nomaaaa.. kibongo bongo wew tafuta vimali vyako ambazo zitawasaidia watoto wako angalau wajue wanaanzia wapi then saidia wazazi wako kafiee mbeleeeee ila U CANT CHANGE UKOO WAKO.
We'll see
 
Msingi wa kuondoa umaskini katika familia zetu ni kufanya kazi, familia yoyote yenye umaskini mkubwa ni uvivu, iwe mjini au kijijini kama tunajituma na kufanya kazi kwa nguvu na bidii tunaweza kupata kipato na kutatua changamoto za maisha na kupunguza ukali wa maisha

Mfano ujabahatika kupata elimu si kigezo cha kuwa maskini jitoe jitume katika ujuzi narudia hapa jitume kupata ujuzi wowote, ujuzi wa ujenzi, uselemala, udereva nk yani kuwa na sehemu unayopambania kombe lako ukipata kuwa mwaminifu, na fanya kazi kwa bidii, unaweza usiwe tajiri ila huwezi lala na njaa

Angalia familia nyingi za kimaskini iwe mjini au vijijini ni uvivu wakutofanya kazi na kutaka maisha ya mkato mfano mpo kijijini familia haina mashamba, hamna mifugo ukichunguza mzee alikuwa mvivu kufanya kazi so kajikuta na familia kisa kupenda ngono kawazaa akabaki na ujanja ujanja tu si kupambana ajitume apte pesa anunue mashamba mlime mpate kipato Sasa ukitokea familia ya hivi kwa sababu familia Ina asili ya uvivu na watoto wanakuwa wavivu matoke yake kama Kuna Binti atapigwa mimba atazalia nyumbani, kijana atakuwa mwizi yani ni shida juu ya shida

Siyo kijijini tu hata mjini na mjini ndio balaa, umaskini tuna utengeneze siye wazazi tuliotoka vijijini kuja mjini, mzazi ulijitambua ukapambana ukaja mjini umetoka familia ya kimaskini ni zari tu mungu kakupa umebahatika haya upo mjini unapata watoto unawalea kijinga jinga tu hutaki watoto waende kijijini kujua uhalisia wa maisha unawapeleka shule nzuri, utaki wafanye kazi yoyote unahisi ndio malezi na upendo at the end sawa kasoma ila ajitambui kwakua uhakika wa kula upo kwa baba na mama matokeo yake mtoto anakuwa mlevi, shoga, malaya yani ukifa baba na mama familia inarudi kwenye uhalisia wake umaskini cause vijana hawajui wafanye Nini kazi hawataki cause umewalea kijinga jinga

MY TAKE
tuhimize ndugu na jamaa kwenye familia zetu kufanya kazi yoyote ile iliyo halali ili kupata kipato cha kupunguza changamoto ya umaskini

Kingine malezi tujenge malezi ya watoto wetu katika kujitambua mfano mdogo tu chunguza asilimia 80 ya vijana mashoga, malaya, wezi ni watoto wa mjini waliozaliwa na wazazi kutoka vijijini yani kama wewe umezaliwa mjini na kusoma mjini na una maisha aisee shukuru mungu sema asante mungu kwani mjini watoto kumaliza shule changamoto asilimia 90 wanaferi

KAZI KAZI KAZI KAZI TUFANYE KAZI TUHIMIZE FAMILIA ZETU KUFANYA KAZI UMASKINI UNAPUNGUA
 
Mzee wa masihara hata huku unapitaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo mkuu tunapambana na Lindi la umaskini ukoo uwe level ya MO
 
Gud one
 
  • Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
  • Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
  • Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela, lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale; ile circle ya umasikini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?

View attachment 2493306
Picha kutoka maktaba
watanzania karibia wote chimbuko lao ni umasikini tu lakini leo tunashudia watu waliotokana na familia hizo masikini wana majina makubwa mfano lipumba baba yake alikuwa mkata mkaa magufuli akulelwa na babake mzazi bana alimtelekeza sababu dhiki

nchemba waziri wa fedhe kazaliwa ilamba singida tena kwenye nyumba ya tembe hiyo ni nyumba yenye adhi ya chini kabasa

raisi wa zanziba alikuwa kuli mbeba mizigo kwenye meli

waarabu na waindi unao waona walikuja huku kukimbia njaa na dhiki huko kwao baadhi yao waliku bila hata viatu

maisha haya tafusili hakuna ajuae kesho yake
 
  • Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
  • Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
  • Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela, lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale; ile circle ya umasikini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?

View attachment 2493306
Picha kutoka maktaba
D57D2B7A-D28C-45AF-9A28-A5E4BD9BAD07.png

Mkuu anza kuvunja ‘LOW INCOME’ ije kuwa ‘HIGH INCOME’ halafu nyingine zote zitaanguka.

Na hapo utakuw umeuvunja mzunguko usokwisha wa umasikini.
 
  • Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
  • Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
  • Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao nyumbani. Hakuna hata mwenye afadhali ya maisha.
Nyumba ukiingia tu inanuka njaa. Wewe ndio umebahatika kupata vijihela, lakini hela yenyewe haikai unaenda unajikuta unarudi pale pale; ile circle ya umasikini haivunjiki.

Wenzangu mnafanyaje mliozaliwa kwenye umasikini?

View attachment 2493306
Picha kutoka maktaba
Mkuu ni kufanya tu matambiko kama wasanii wa bongo muvi ili kujikwamua kimaisha
 
Back
Top Bottom