Kijana una miaka 23, huna biashara/kazi yenye kukuingizia kipato cha uhakika,,,,,, unaenda kuoa binti ambae kwao yeye ni wa kwanza na ana wadogo zake sita wote wanakutegemea shemeji uwasomeshe,, uwalishe wazaz wao,,, uwape mahtaji yao ya msingi,, uwajengee nyumba n.k what do u xpect??
Baada ya mda fulan unapata mtoto wa kwanza unampeleka kusoma sant kayumba,, anafika form four anafeli, anakua boda boda(kwa sababu hujamuandalia future yyte na wala huna mtaji wa kumpa),,,, ,, na yy tena anaoa kulekule,,,, mzunguko unaendelea
Suluhisho:usianzishe familia kama ww mwenyewe hujitoshelezi,,, unaongeza idadi ya wahalifu(watoto wa mitaan+panyaroad) na kuendeleza vicious cycle.