Wenzetu wanajenda Bombshelter ili kujikinga na maadui kipindi cha uvamizi, sisi hata shule za msingi hatuwezi kujenga

Wenzetu wanajenda Bombshelter ili kujikinga na maadui kipindi cha uvamizi, sisi hata shule za msingi hatuwezi kujenga

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo.
image_search_1645861559456.jpg

Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
image_search_1645861502472.jpg
 
Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo.
View attachment 2131611
Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
View attachment 2131612
Hivi hapo ikishushwa ile atomic bomb kama ile ya Yiroshima kule Japan bado atasalia mtu hapo?

NB:

Vita ni mbaya na nalaani kwa nguvu zote.
 
Aibu kubwa sana unakuta Kiongozi wa Ccm ana Shangingi V 8 lakini watoto wanakaa chini na shule haina majengo huku wamevaa Yeboyebo.
View attachment 2131611
Huko Ukraine wanajenga mahandaki ya kujificha ili mabomu ya adui yasiwadhuru. Hii ina maana wanatumia pesa ya umma vyema
View attachment 2131612
Kuwa na adabu japo kidogo. Huoni miundombinu ya mkopo nafuu wa Uviko na ile ya tozo!!!!!!!?
 
Sisi tuna amani, hatuhitaji hizo bomb shelter...
 
We kamanda uchwara

Hata chadema wakipewa nchi hamna cha maana kitakachofanyika
Wanasiasa wa Africa ni walafi kupitiliza
Nchi gani Africa inayoongozwa na wapinzani yenye maendeleo?
 
Kwahio tuanze kujenga bomb shelters ?

Unadhani vita vya Kagera watu wali-survive vipi ?

Nadhani hekima ni kuendelea kujenga madaraja (upendo na ushirikiano) na kukemea mifarakano na uonevu..., Hata Russia kwa sasa kinakachompiga na kumzuia ni Propaganda na Shinikizo kutoka kwa Dunia kwa Ujumla...., Huenda hata washinikizaji wengine ni wabaya kuliko hata huyo Russia
 
Back
Top Bottom