Wenzetu wenye Akili Yanga SC Chief Scout wao ni Ali Mayai wanafanya vyema, Sisi Matutusa tumeletewa Tutusa la Kiholanzi Kutusajilia

Unazungumzia Magori mtu ambaye amewaleta kina kiyombo na Banda pale Simba angalau Yule kibu ana nafuu lakini Kwa tunaojuwa wachezaji WA Magori hakuna kitu pale shida ya
 
Wewe jamaa ujuaji mwingi mtu hata kazi hajaanza unaleta porojo zako hapa.
 
Uko sahihi.
 
Mlete mthungu
 
Marekebisho kdg, Renatus Njohole hakai msasani, anakaa Mikocheni A ,na pia haishi Sweden anaishi Uswizi
 
Naskia usajili wake wa kwanza umenscout mpemba mmoja mla ugali kwa sugar,utopolo watasaga meno[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaomponda Mo Dewji kuwa hatoi pesa watueleze wao wametoa shilingi ngapi katika zile 51% za hisa za wanachama wa Simba katika kusaidia suala zima la usajili na uendeshwaji wa Timu ya Simba Sc.

Wakishatoa hizo takwimu ndio tutajua kati ya Mo Dewji ambaye ana miliki 49% ya hisa zote

Na hao wanaojidai kumiliki 51% ya hisa zote nani ametoa pesa za usajili katika kipindi cha miaka 5 iliyopita katika klabu ya Simba.

Hapo ndio tutajua nani Samjo samjo panjuani !
 
Unajua Mo ameichafua jezi yote ya Simba kwa matangazo yake ya biashara?, unajua angetumia kiasi gani kutangaza hizo biashara zake kwenye vyombo vya habari?.

Unajua washabiki wanatumia nguvu gani kutangaza biashara za Mo pindi wavaapo jezi za Simba?, ukipata majibu kwa kuanzia utakuwa umeshapata majibu ya mchango wa washabiki
 
Kwa mwaka anatumia zaidi ya bilioni 5 kuigharamikia Simba sc.Sasa unieleze gharama za matangazo kwenye vyombo vya habari zinafika hiyo 5B?
 
Huna Akili.






Yaani kwakuwa yanga wanacheza kombe la losers basi shughuli za nchi nzima zisimame?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mwaka anatumia zaidi ya bilioni 5 kuigharamikia Simba sc.Sasa unieleze gharama za matangazo kwenye vyombo vya habari zinafika hiyo 5B?
Unajua kuwa kwenye kila mapato yatokanayo na Simba anapata mgawo wa 49%?, mfano mapato yote yatokanayo na wadhamini, viingilio, jezi, matangazo n.k bado anachukua mpunga.
Simba ikiingiza 10B kwa mwaka jua 4.9B inaenda kwa Mo.

Kama unadhani Mo anapata hasara kwa nini ameiganda Simba zaidi ya kupe?, kwa ufupi hakuna mtu dunia hii anayefanya biashara ya hasara miaka kadhaa mfululizo na akalazimisha kuendelea nayo kwa gharama yeyote.


Kuna nyakati Mo huwa anasusa susa mithili ya panya mwenye mimba, lakini akikumbuka faida za kibiashara anazopata kwa msaada wa Simba kesho yake anarejea kundini kwa kasi ya upepo
 
Huna Akili.






Yaani kwakuwa yanga wanacheza kombe la losers basi shughuli za nchi nzima zisimame?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka hii miwili mfululizo Simba ana kombe gani?, huku ligi ya FA na NBC kote ametoka patupu, unahisi kwa nini Simba ambaye siyo loser hajaokota chochote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…