Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana mkuuu nikiwa na swali Tena nitakuuliza bossMchezaji Mstaafu Amri Kiemba ni Simba SC lia lia na Mtangazaji Alex Luambano ni Simba SC Kindakindaki.
Karibu kwa Swali lingine linalokutatiza.
Yaani, kwa siku unaweza fungua Nyuzi hata 5, hii utaipongeza Yanga, hii utaiiponda, hii utakuja na vihoja fulani, hii utakuja na fact.Kwanini Mkuu...?
Wewe jamaa ujuaji mwingi mtu hata kazi hajaanza unaleta porojo zako hapa.Ali Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa.
GENTAMYCINE natambua kuwa kwa 99.99% huu Usajili wa Wachezaji mahiri wa Yanga SC ( hasa hawa wa Kigeni ) umetokana na Jicho lako Kali la Kiufundi huku Usajili wa ndani ( Wachezaji wa Ndani ) Kazi nzuri inafanywa na Kaka yangu Mtoto wa Mjini Ramadhan Kampira.
Wakati Yanga SC ikiwa na Local Scouts hawa ( Mayai na Kampira ) inafanya vyema huko ( kule ) Simba SC tumeletewa Tutusa la Kiholanzi yaani limekaa weeeeeee Tandale Uzuri likapata na Mademu wa Kiswahili na muda mwingi linashinda Runingani kutazama Soka la Bongo na la Ulaya huku likiwa limevalia Jezi Feki ya Simba SC leo ndiyo anateuliwa kuwa Chief of Scout wa Simba SC.
Simba SC hii ninayoifahamu Mimi Chief of Scout angekuwa ni Poti wangu na Tajiri Crescetius Magori au Beki wetu Katili wa zamani na Mfia Timu Boniface Pawassa au Nahodha wetu Msomi wa zamani na Mtoto wa Msasani Kisiwani Renatus Njohole ( aishiye Sweden kwa sasa ) wangefanya vyema Kiusajili kuliko hili Tutusa la Kiholanzi liishilo Tandale na Jezi yake Feki ya Simba SC.
Na hata Mimi tu GENTAMYCINE ningeteuliwa hiyo Nafasi ya Chief of Scout na nikapewa Fungu na niruhusiwe Kuchagua Wasaidizi wangu Wawili tu ( Watu wa Mpira hasa ) nina uhakika ningetafuta Wachezaji wangu hatari Saba ( 7 ) kisha ningewaambia Simba SC ( Uongozi ) kuwa kama Wachezaji niliowaleta Mimi wasipofanya maajabu na Kuifikisha Simba SC ama Nusu Fainali ya CAFCL au Fainali ya CAFCC ya Msimu ujao na Kuchukua Ubingwa Waninyonge Hadharani kama sehemu ya Adhabu yangu.
Na najua Mashabiki wa Simba SC tulivyo Matutusa ( Majuha ) basi hii Taarifa ya huyu Tapeli wa Kiholanzi aishiye Tandale na Jezi yake Feki ya Simba SC Mels Daalder tutaifurahia Usiku Kucha na Mchana kuliko hata Yanga SC ambao wameshatuacha Kimafanikio na huenda tarehe 28 May, 2023 wakaanza Kuushangilia Ubingwa wa CAFCC na tarehe 3 June, 2023 wakauchukua kabisa mbele ya Ardhi ya Mwarabu Kwake nchini Algeria.
Kama tu Mwekezaji Wetu ni Samjo Samjo Panjuani ( Muongo Muongo Tapeli ) aliyetuambia katuwekea Tsh 20 Billion ( zisizoonekana katika Benki yoyote hapa Tanzania ) unategemea asiendelee tu Kutuletea na Kututeulia Masamjo Panjuani Wenzake?
Kuna Mambo yananikasirisha sana!!!
Uko sahihi.INSHORT.
Jamaa yupo kama chambo tu
Danganya Toto. Hawezi kufanya usajili wa mchezaji yoyote
Simba wametafuta sehemu ya kudanganyishia mashabiki,
Kichaka Cha kujifichia.NA KUWAPOTEZA yanga maboya.
Trending ya yanga ilikuwa kubwa Kila kona na mitandaoni .
wamepata Agenda mbili za kupunguza moto wao
1. SCAUT.
2. MICHANGO YA FEITOTO.
MO ACHA CHPLI CHUPLI.
MPIRA NI UWEKEZAJI YANGA WANATAMBA MIAKA MI WILI LIGI NA FA KWA SABABU YA UWEKEZAJI WAO..
MUHINDI BAHILI MNO.
SIJAWAHI KUONA TAJIRI WA KIHINDI ANAMILIKI TIMU ZAIDI YA MWAMEDI
Mlete mthunguAli Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa.

Renatus hapendi ujinga ujinga toka tunacheza nae mtaaniKuna kipindi nadhani Njohole alijitahidi kupenyapenya pale Simba ili kuwaunganisha na dunia lakini akakutana ukuta mzito sana.
Ila Pawasa umeongea vyema sana, mbali kucheza mpira, Pawasa pia ni mtambuzi mzuri sana
Unadhani akina Hersi wangekuwa na maneno ya uongo mengi kama Kanjibai wetu ungewaamini?Unatakiwa uwe na imani na viongozi wako.
Unajua Mo ameichafua jezi yote ya Simba kwa matangazo yake ya biashara?, unajua angetumia kiasi gani kutangaza hizo biashara zake kwenye vyombo vya habari?.Wanaomponda Mo Dewji kuwa hatoi pesa watueleze wao wametoa shilingi ngapi katika zile 51% za hisa za wanachama wa Simba katika kusaidia suala zima la usajili na uendeshwaji wa Timu ya Simba Sc.
Wakishatoa hizo takwimu ndio tutajua kati ya Mo Dewji ambaye ana miliki 49% ya hisa zote
Na hao wanaojidai kumiliki 51% ya hisa zote nani ametoa pesa za usajili katika kipindi cha miaka 5 iliyopita katika klabu ya Simba.
Hapo ndio tutajua nani Samjo samjo panjuani !
Kwa mwaka anatumia zaidi ya bilioni 5 kuigharamikia Simba sc.Sasa unieleze gharama za matangazo kwenye vyombo vya habari zinafika hiyo 5B?Unajua Mo ameichafua jezi yote ya Simba kwa matangazo yake ya biashara?, unajua angetumia kiasi gani kutangaza hizo biashara zake kwenye vyombo vya habari?.
Unajua washabiki wanatumia nguvu gani kutangaza biashara za Mo pindi wavaapo jezi za Simba?, ukipata majibu kwa kuanzia utakuwa umeshapata majibu ya mchango wa washabiki
Huna Akili.INSHORT.
Jamaa yupo kama chambo tu
Danganya Toto. Hawezi kufanya usajili wa mchezaji yoyote
Simba wametafuta sehemu ya kudanganyishia mashabiki,
Kichaka Cha kujifichia.NA KUWAPOTEZA yanga maboya.
Trending ya yanga ilikuwa kubwa Kila kona na mitandaoni .
wamepata Agenda mbili za kupunguza moto wao
1. SCAUT.
2. MICHANGO YA FEITOTO.
MO ACHA CHPLI CHUPLI.
MPIRA NI UWEKEZAJI YANGA WANATAMBA MIAKA MI WILI LIGI NA FA KWA SABABU YA UWEKEZAJI WAO..
MUHINDI BAHILI MNO.
SIJAWAHI KUONA TAJIRI WA KIHINDI ANAMILIKI TIMU ZAIDI YA MWAMEDI
Unajua kuwa kwenye kila mapato yatokanayo na Simba anapata mgawo wa 49%?, mfano mapato yote yatokanayo na wadhamini, viingilio, jezi, matangazo n.k bado anachukua mpunga.Kwa mwaka anatumia zaidi ya bilioni 5 kuigharamikia Simba sc.Sasa unieleze gharama za matangazo kwenye vyombo vya habari zinafika hiyo 5B?
Miaka hii miwili mfululizo Simba ana kombe gani?, huku ligi ya FA na NBC kote ametoka patupu, unahisi kwa nini Simba ambaye siyo loser hajaokota chochote?Huna Akili.
Yaani kwakuwa yanga wanacheza kombe la losers basi shughuli za nchi nzima zisimame?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]