Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiniharibie jina bana! PJ ni member huru, ni tofauti na PakaJimmy... halafu ni mkorofi huyo, hapendagi utani, mpaka awe kwenye 3some.Mie nimejitolea kuzibeba toka Arusha PJ ! Sema lingine
Dont worry darling! I'll do the needful.
Mambo madogo sana hayo.
Usiniharibie jina bana! PJ ni member huru, ni tofauti na PakaJimmy... halafu ni mkorofi huyo, hapendagi utani, mpaka awe kwenye 3some.
Kwanza usikute naongea na mtu bado yuko Dar, sijui brajeck nini nini mi sijui bana.
Ukirudi lazima unilipe spaletta.
Hajiungi mtu, hii ni kwaajili ya kumwezesha mwenzetu mmoja[jina linahifadhiwa] aweze kumpata binti anayempenda sana anayeitwa marejesho.
Shida ya mwenzetu huyo DOMO NANGA!
Ile dozi mwaya iliisha. Kwa mara ya kwanza nikazindua juzi pale Meru View.Sorry PakaJimmy !!BTW niko A-Town (Half London)!!
Ya Brajec tuyaache huko huko,ila niliwamisije!!!
Hivi ile dozi ulipewa na daktari iliisha???
Yupo!
Twende PM nikwambie jina la huyo mtu, maana huku nje ni fitna tupu! Naogopa kuna mtu ataji`barlow.
Sisi hatuna mashaka na warembo wetu, mpango uliopo ni kuhakikisha tunapanda mbegu huko, angalau mjulikane kuwa na nyie wamo.
ili kufanikisha hilo, mimi, Erickb52, Arushaone, Mr Rocky, Filipo (japo anataka kutuzingua na marejesho), pamoja na mlokole Mzee wa Rula tunahakikisha tunapanga strategies ya kuwa karibu. Kwa kuanza na mpango mkakati sasa, PM zimeshaanza kuwasiliana na Madame B, charminglady, FirstLady, Zinduna, snowhite, cacico, Kipipi, Natalia, Erotica na gfsonwin............. kwa PM za awali mambo yanaenda vizuri, Kipipi anatamani iwe leo, kwahiyo Mr Rocky ambaye ndo tunamkabidhi Kipipi tumemwelekeza chakufanya kuhakikisha hatemekiwi.
Jamani napitwa mm mtoto wa Arusha...basi ndo hivyo tena...next time labda...Nawatakieni nyoote maandalizi mema ya Safari hizo za mwisho mwaka..
hii kitu mbona ni rahisi.....ni world wide.....jipange tu uibuke........
Hahhaaa hafi mtu Blaki Womanikijana hiyo inaitwa 50sm
naanda wimbo wa RIP
Jaman na mi naomba eeeh!?