Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hah hah hah hah! Hao ni akina Mwita Maranya wanatuonea wive! Lol
Niko SHINYANGA, ni mwenzenu wana arachuga, nitatia timu mwanzoo mwa mwezi ujao, niwekeeni siti karibu na mrembo aliye singo ila asiwe mjane.
Hivi ninyi watu ya Arusha hamjisikii unyonge kutumia business idea yangu kujitajirisha lakini hamnikumbuki mimi ambaye ni founder?
Off all the people hata Preta naye anashiriki kunihujumu kwa ushirikiano mkubwa sana toka kwa PakaJimmy? Nimeshangaa kwamba this time around hata hamtaki kunialika, ndugu yangu Filipo uko busy na mkeo marejesho hadi umenisahau? wapi dadake Lily Flower hata wewe? Eti hata Mungi nae kanichinjia baharini? kha...
Jamaa yangu Saharavoice angekuwa ameshirikishwa huu mchakato bila shaka asingenipotezea, lakini hakuna kwere nadhani Blaki Womani anaandaa mazingira ya kunipa mwaliko "maaliumu" ngoja nimsubiri kidogo.
tumefikia wapi mpaka sasa.....?
Niko SHINYANGA, ni mwenzenu wana arachuga, nitatia timu mwanzoo mwa mwezi ujao, niwekeeni siti karibu na mrembo aliye singo ila asiwe mjane.
Kaka Mwita Maranya kulikoni kutuanika kama makaniki hivyo ha ha ha si unaona tunavyokuenzi na mawazo yako uliyotupa? Ila unakaribishwa sana kujumuika nasi at this superb event.
nimefurahi kusikia kutoka kwako......karibu sana.....
Hivi umesha-bukiwa?
Asavali dadake umejitokeza mapema. Sijawaanika isipokuwa nilipata wasiwasi kwamba huenda mmeshanisahau ze founder.
Kwakuwa nimeona mnajiandaa kwa pea pea, mimi mmeniandalia nani kuwa partner wangu huko Chuga? manake bila kuwa pea safari haitanoga.:confused2::confused2:
Mpaka jana majira ya saa tatu usiku nimefanya mazungumzo na yule jamaa wetu wa usafiri na nikamweleza A to Z tunavyotaka na akanihakikishia uwepo wa hitaji letu na hata hivyo nimempa mpaka tarehe yenyewe ya safari na kwa ujumla kila kitu kinaenda kama tunavyotaka kwa uweza wa MUNGU tunayemtegemea na kama kutakuwepo na badiliko lolote lile bila shaka tutafanya mawasiliano kwa haraka sana!
Dah! huko tutatoboa kweli, hebu chagua lokesheni nyingine.
nashangaa mpaka saa hii hakuna kinachoendelea.......inavyoonekana nitapumzika ufukweni mwenyewe......potelea mbali.......
Endelea kukuna kichwa mpaka hapo utakapopata clue, huku chuga tuko fuli bukdi na chuga wenzetu ulah la lah!!!!
Tunaanzia hapo halafu tunatobolea mahali ambapo Ruttashobolwa hawezi kufika
Lily Flower nimeshampatia majukumu mkuu............................. wadau wa Arusha tumejizatiti kuhakikisha awamu hii tunapanda mbegu za kiarusha dar.................... ili kufanikisha hilo Mr Rocky ameshafikia pazuri na Kipipi, kwa jinsi huyu mrembo alivyo na haraka nina mashaka kama hata watafika siku yenyeweKamanda Mungi unajitahidi sana kutengeneza pea na dadangu Lily Flower lakini naona kama hujiaminihivi? mbona unamhofia sana Ruttashobolwa? kama una wasiwasi nae sana wasiliana na jamaa wa temeke, akigusa tu inakula kwake.