Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
twende 2kayazungumze chumbani... Uniandalie msosi niupendao
eeehhh Filipo kwishneey bora usingemruhusu kwenda jiji
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
twende 2kayazungumze chumbani... Uniandalie msosi niupendao
Blaki Womani kumbe upo? Usisikilize haya mambo maana ni makubwa mno.....marejesho habari gani inaendelea hapa
eeehhh Filipo kwishneey bora usingemruhusu kwenda jiji
Blaki Womani kumbe upo? Usisikilize haya mambo maana ni makubwa mno.....
Nimekumisije..... Tanga utaenda?
Heeeeeeeee Blaki Womani naona umehongwa na sweetlady.................... ngoja nimtafute Lily Flower aje na kitu chenye ncha kali
Blaki Womani kumbe upo? Usisikilize haya mambo maana ni makubwa mno.....
Nimekumisije..... Tanga utaenda?
sweetlady alikuwa ameniibia password yangu nikawa namkimbiza......... ndo maana hujamkuta pale............ mi mzima babe........... selo ishakuwa kama kijiwe sikuizi, kila mtu anajiendea hahaaaaNilikuja nacho juzi sikuwakuta mlichoropokea wapi? selo inakuhusu soon ha ha ha ha mzima lakini babe Mungi.
Heeeeeeeee Blaki Womani naona umehongwa na sweetlady.................... ngoja nimtafute Lily Flower aje na kitu chenye ncha kali
Blaki Womani kumbe upo? Usisikilize haya mambo maana ni makubwa mno.....
Nimekumisije..... Tanga utaenda?
Filipo mpenzi, usisikilize maneno ya watu.... You are the only one for me...
Mungi shem wangu ,mbona hivi jamani.....? Babu Asprin vipi kwani? Niliacha shanga baada ya ukaguzi ama?
khaaa unauliza vumbi stoo Ruttashobolwa ninaye hapa hadi 2013
shíii. Usishtue waliolala.. Nimekumiss sana Blaki Womani. Uko poa?
Habari yako bhana, blacki Womani aache kwenda maajabu maana mpaka sasa hivi amebuki seat iliyokaribu na dereva hala hala tu asije akambuki na dereva ha ha ha ha ha inabidi tujue ametoka mkoa gani ulah la lah