Imeharibiwa na nani , jaribu kujitambua , , ukiwa unaenda labda sokoni , ukabanwa haja si itaenda kujisetiri , alafu uendelee na safari, hivyo safari moja , inawezwa anzishwa na nyingine humo humo.Si vizuri kuharibu uzi. There is a room to open more threads.ukifungua Uzi nitachangia
Tunaomba na kibera , restaurantMovenpick Restaurant, Westlands
View attachment 908049
Hatukimbilii tu , tunataka tuone ukweli halisi , kwa mustakabali wa waafrika, tusishangilie tu magorofa , tuone pia binadamu wanaishi salama ? Katikati ya hayo maghorofsOkay as you wish. Lakini mbona nyie hukimbilia kibera pindi mkizidiwa?
Tunaomba na kibera , restaurant
You westy yenu Upanga ndio size yake, acheni Posta ikae
Westy iko cheap sana lol
[emoji75]😀😀😀😀you love soap operas
Wewe , SA , walikandamizwa na ubaguzi wa rangi , wamepata lini uhuru ? Na nyie KE , mmepata lini uhuru wenu ? Mtasemaje basi ? Tafakari vizuri.Kwa taarifa yako,hata afrika kusini wana makao duni ambayo yanajulikana duniani. Hivi hii inamaanisha kwamba mpo mbele yao?
weka evidence babaa.Westy iko cheap sana lol
Unaachaje golden jubilee tower, Rita, uhuru height,kempiski,PPF tower,mafuta house nkWacha kuongea tu.....ongea facts. Westy buildings zake ni modern. Posta only TPA, PSPF and MNF are modern.
Nyie bila hao wazungu hamuwezi kufanya mambo yenu ? Mtatengenezewa na KIBERA MAJOR.2, muda si mrefu , ili waje kutalii uduni wenu
Sasa nyie mna gas? Kinyerezi power plant nikubwa kiliko Kenya16,000 Solar Panels at ABC Westlands hata Dar Mzima haina such infrastructure
View attachment 908054
Umeitisha restaurant nimekupa, sasa umehamisha goli?Nyie bila hao wazungu hamuwezi kufanya mambo yenu ? Mtatengenezewa na KIBERA MAJOR.2, muda si mrefu , ili waje kutalii uduni wenu
Yeah , na uhuru tuliwasaidia kupata na watu wao waliishi Tz, wakati wanapopigania uhuru , ndio maana ,Mandela alipotoka gerezani alikuja kwanza kukanyaga Tz , kwa kutoa shukrani zakeNijibu kwanza. Are you ahead of S.A because they have slums?
Huo umeme wenu wa 1500MW?Sasa nyie mna gas? Kinyerezi power plant nikubwa kiliko Kenya
Sasa mbona iko full of apartments? Si level ya Upanga tu..huwez weka level moja na posta hata upper hill bado kwa Postaweka evidence babaa.
Tumeshafika 1600MW wewe unahabar za kale sana...nikumbushe nyie mmeshafika 15,000MW ???Au bado mko matopeniHuo umeme wenu wa 1500MW?
Tunawapa ukweli wenu msitishike na toys ,mnashangaa,vioo vya magorofa, wakati wa KE , wengi wanaishi kny mabati,Umeitisha restaurant nimekupa, sasa umehamisha goli?