Westlands vs Posta

Westlands vs Posta

Si vizuri kuharibu uzi. There is a room to open more threads.ukifungua Uzi nitachangia
Imeharibiwa na nani , jaribu kujitambua , , ukiwa unaenda labda sokoni , ukabanwa haja si itaenda kujisetiri , alafu uendelee na safari, hivyo safari moja , inawezwa anzishwa na nyingine humo humo.
 
Movenpick Restaurant, Westlands
1540286651011.png
 
Okay as you wish. Lakini mbona nyie hukimbilia kibera pindi mkizidiwa?
Hatukimbilii tu , tunataka tuone ukweli halisi , kwa mustakabali wa waafrika, tusishangilie tu magorofa , tuone pia binadamu wanaishi salama ? Katikati ya hayo maghorofs
 
Kwa taarifa yako,hata afrika kusini wana makao duni ambayo yanajulikana duniani. Hivi hii inamaanisha kwamba mpo mbele yao?
Wewe , SA , walikandamizwa na ubaguzi wa rangi , wamepata lini uhuru ? Na nyie KE , mmepata lini uhuru wenu ? Mtasemaje basi ? Tafakari vizuri.
 
Wacha kuongea tu.....ongea facts. Westy buildings zake ni modern. Posta only TPA, PSPF and MNF are modern.
Unaachaje golden jubilee tower, Rita, uhuru height,kempiski,PPF tower,mafuta house nk
 
Nyie bila hao wazungu hamuwezi kufanya mambo yenu ? Mtatengenezewa na KIBERA MAJOR.2, muda si mrefu , ili waje kutalii uduni wenu
Umeitisha restaurant nimekupa, sasa umehamisha goli?
 
Nijibu kwanza. Are you ahead of S.A because they have slums?
Yeah , na uhuru tuliwasaidia kupata na watu wao waliishi Tz, wakati wanapopigania uhuru , ndio maana ,Mandela alipotoka gerezani alikuja kwanza kukanyaga Tz , kwa kutoa shukrani zake
 
Back
Top Bottom