Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutmbea na wasichana wadogo

Asante kwa kuokoa taifa. Weusi katikati ya mapaja ni janga la kitaifa. Wanawake wasio na weusi katikati ya mapaja ni specie ambayo ipo mbioni kutoweka NCHINI Tanzania. Tusipo angalia vitukuu vyetu watakuta wametoweka kabisa.
Labda nikuulize mkuu, ukikuta mamsap, yaani shemeji yanamtokea hayo makitu, unachukua hatua gani?

Nimeuliza hivyo kwa sababu, mwanamke wa ndoto zako anaweza kadri siku zinavyokwenda akakubadilikia kimaumbile na kuwa mtu mwingine kabisa!

Ikimtokea hilo tatizo, Taifa utaliokoaje?
 
Hospitali
 
Yaaan nmecheka balaa , ila tunafanana sana , mie 25 below sina hata hisia nao , ata nimwone na chupi nachukiza naona mtoto mdogoooooo vile
 
Mkuu umesahau tatizo sugu la ukungu katikati ya mat*ko (Suez canal ) hili ndo kichefuchefu zaidi
[emoji16][emoji16]Kuna jiran yangu zaman ,bonge white (wakujichubua)ana tako huyo lakin mfupi,sasa kila akitoka kuoga,alikuwa anaombaga nimpake mafuta mgongoni ,sasa alikua akiinama ili apakwe halo huo weus katikat ya matako unaweza kutapika ,ule mstari ni mweus km lami,sasa kuna cku akaniomba nimpe tube yngu ya kutoa mba ,apake katikat ya mapaja et ana allergies cjui,ile kujitanua anioneshe ni ana michirizi mibaya mieus ina ukungu,kuanzia uko kwny weus mpaka karibu na miguun yaan ni inatisha nyie .alaf ukimuona kavaa anavovutia kumbe ndan ni majanga,mdogoangu nae alimpaka mafuta cku moja,akaja niambie sista kuna wanaume ni wavumilivu,wanawezaje kulala na ile takataka[emoji16]mdogoangu hakuna kitu anajali km ngoz , na mim pia,ivyo tulikua tunamskitikia sana yule bonge nyanya.wanaume mna moyo.
 
Jirani jirani kweli we wakuja kumsema mpenzi wangu mitandaoni .lazima nikamwambie sho ako
 
Make Ncheke kwanza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 aiseee!?

Mara zote huwa nasema, Wanawake na Wasichana kwa ujumla ni wahanga wakubwa sana katika mzunguko wa maisha ya kila siku katika kila nyanja. Ifikie hatua Tuwathamini, Tuwapende na Tuwaokoe katika Madhila yasiyo ya lazima kuwakuta.
 
M pia nmeshuhudia ila yeye n mwembamba (kipotabo) kazuri kwelii kakivaa nguo.

Nmefika kwa shagaangu wadada mkwawote kukaa na chupi fresh tu sio ishu mara kaja huyo b dada kavua nguo anaenda bafuni aiseee nilijionea maajabu sio mapajani mpaka kwenye uvungu wa matako.

Mi hata sikuongea kitu nasema wanaume shughuli wanayo.
 
Mambo hani mkuu???
 
Si ndio maana hata akina mama vichaa Wana watoto. Asante kwa kutukumbuka kwa hilo
 


Mazoezi ya kuondoa mafuta ya katikati ya mapaja ili kupata gap hapo na kuondoa huo msuguano unaosababisha weusi!
 

Attachments

  • IMG_3294.jpg
    33.3 KB · Views: 1
Asante kwa kuokoa taifa. Weusi katikati ya mapaja ni janga la kitaifa. Wanawake wasio na weusi katikati ya mapaja ni specie ambayo ipo mbioni kutoweka NCHINI Tanzania. Tusipo angalia vitukuu vyetu watakuta wametoweka kabisa.
Kwa hiyo inahitajika serikali kuchukua hatua ya kutenga bajeti ya kuwahidhi ama?
 
Doh sijaona mwanaume mjinga kama huyu. Haya yote ni madhara ya kutokua na hela. Weusi aina wowote mapajani kwapani ni aina ya skincare anazotumia. Mpende mwenza wako. Mpe hela kila mwezi ya matunzo ya ngozi yake. Aende spa kufanyiwa scrub na waxing anakuwa mweupe uko chini mpaka unaweza kula juu ya kipaka. Tena unatumia maneno malaini malaini mwanamke hafokewi ‘baby nataka niwe nakulamba kila asubuhi tukiamka, here is 200k ulifanya one time ulipendeza ulinichanganya balaaa ngozi ilikuwa smooth nyeupe kote’ hautaona tena hio ngozi. Kudate na vitoto
Vya chuo ni woga wa maisha tusiwadanganye wanawake hapa, wanaodate na vitoto vidogo hawana hela wanapenda mteremko mtoto mdogo unampa laki na simu karidhika … mtoto mdogo unamnunulia iphone karidhika hehehe usisingizie paja bro …
 
Nina mafuta mazuri ya kuondoa weusi huo.
Karibuni sana
 

Attachments

  • 1d03475e-0da7-4198-9104-b48896133b58.jpeg
    38 KB · Views: 2
  • IMG_2356.png
    683.3 KB · Views: 14
Nyuzi za kipombe pombe, hiyo ni friction, ila sasa tunapaka whitefield hakuna weusi tena, tumeendelea.
 
Ni kweli. Mimi hakuna kitu najali kama ngozi yangu. Hata lotion ya laki 3 na nunua na oils za kupaka mwili mzima. Sina doa hata moja mwilini mwangu. Tatizo wanawake wengi wanapaka lotion au cream kali zinaishia kuwapa madhara.
Ni bora kupaka mafuta ya nazi kuliko hayo mafuta yenye kemikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…