Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Labda nikuulize mkuu, ukikuta mamsap, yaani shemeji yanamtokea hayo makitu, unachukua hatua gani?Asante kwa kuokoa taifa. Weusi katikati ya mapaja ni janga la kitaifa. Wanawake wasio na weusi katikati ya mapaja ni specie ambayo ipo mbioni kutoweka NCHINI Tanzania. Tusipo angalia vitukuu vyetu watakuta wametoweka kabisa.
Nimeuliza hivyo kwa sababu, mwanamke wa ndoto zako anaweza kadri siku zinavyokwenda akakubadilikia kimaumbile na kuwa mtu mwingine kabisa!
Ikimtokea hilo tatizo, Taifa utaliokoaje?