Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutmbea na wasichana wadogo

M

😳😳Mkuu sasa 93 mpaka 2001 unawaita mishangazi, kwetu sisi mbona ni watoto wabichi kabisa hao, tunawalia kwa chumvi 😂🤣
Mishangzi ni 40+ hivi kusogea 50 huko.. hao ndio wenyewe unakula maini. 30+ hivi humo safi, hawa below 25 sitaki hata kuwaskia.

Eni zangu mie vitoto vitoto hapana, yaani naweza toka nae mtwara mpaka kigoma na kisitokee kitu, ila wakubwa wakubwa sasa 😂🤣 karume na machinga complex mbali, kishaeleweka. 😂🤣
Wewe ni copy yangu au mimi ni copy yako. Vitoto hapana hata kidogo, 35+ hapo sawa.
 
Kabla ya kumla unatakiwa kufanya PRE assessment kuanzia ktk sehemu zifuatazo.

1_ Vidole: Ukiona kama Miogo ya kuchoma ujue tyr ipo Mambo

2_Shingo: Ukiona shingo yake NYEUSI kuliko sehem zingine kuzunguka kichwa ujue Ipo Mambo hapo..

3_Kwapa: Ukiona kwapq la rangi huielewi ujue ipo mambo hapo.

BONUS tip: Ukiona magoti yana rangi nyeusi ujue Ipo mambo hapo.
4_ ukiona pua imetobolewa kama ng'ombe wa kulimia ujue ipo mambo hapo
 
Mbona kuna scrubs na serum bei poa tu zinatoa huo weusi, tena sio mapajani tu hadi kwenye makwapa
Tiba ya weusi huo kwenye mapaja siyo kufanya scrub!! Scrub siyo suluhisho. Kwanza ni vizuri kujua chanzo cha weusi kwenye mapaja ni nini? Weusi kwenye mapaja siyo tatizo la wanawake tu, bali hata wanaume japo hilo ni tatizo sugu zaidi kwa wanawake. Weusi kwenye mapaja unasababishwa na fangasi (fungus). angasi hao hufurahia mazingira ya joto na ukosefu wa hewa!! Mazingira niliyoyataja hurutubisha sana fangasi hao. Mazingira hayo huletwa na uvaaji wa nguo zinazobana zikiwemo suruali hasa jeans na skin tight!! Uvaaji wa sketi fupi unaomlazimisha mvaaji kukaa akiwa amebana mapaja yake kwa muda mrefu. Wanawake wanaovaa nguo hizo wanajua kero inayowapata, hasa pia kuwa na fungus waitwao candida kwenye uke na kusababisha kuwashwa na kutoa harufu mbaya!!

Tiba ni kutokuvaa nguo zinazobana, kama ni sketi iwe pana na ndefu ili ukikaa uwe na uhuru wa kupanua mapaja bila shida. Pia underware iwe na lesilesi kwa chini. Hakuna mwanamke anayevaa suruali zinazobana au sketi fupi ambaye fangasi watamwacha salama!! Uki-scrub ni kama kuosha gari lenye matope halafu baada ya kuliosha unaliendesha tena kwenye barabara yenye matope!! Hiyo ndiyo tunaita kutwanga maji kwenye kinu!
 
Basi sawa
 
Back
Top Bottom