Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Sema wanamme si mnapendana wadada walojazia mahipsi na mapaja,hiyo vumilieni tu ni msuguanoAsante kwa kuokoa taifa. Weusi katikati ya mapaja ni janga la kitaifa. Wanawake wasio na weusi katikati ya mapaja ni specie ambayo ipo mbioni kutoweka NCHINI Tanzania. Tusipo angalia vitukuu vyetu watakuta wametoweka kabisa.