Gautten Potten
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 1,642
- 3,426
Mamamamamamama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamamamamamama
We acha kuvutia bangi chooni, kushiba sio burudani ni jambo la msingi.. kwichi kwichi ndipo burudani ilipo na ndio mam wa burudani zoooote uzijuazo duniani.. uende Serengeti kutalii, kwichi kwichi muhimu, sijui Zanzibar,sijui taifa kucheki boli(mama jay ninushahidi tosha), uende bar kula bieeere, zitashuka chini utatamani kumuinamisha mtu, so kwichi kwichi iache iiwe kwichi kwichi.Burudan ya qwanza ni kushiba hivy vingne ni ziada[emoji2957]
Dalili za mkono wa nyani hizo 🤣🤣🤣
We acha kuvutia bangi chooni, kushiba sio burudani ni jambo la msingi.. kwichi kwichi ndipo burudani ilipo na ndio mam wa burudani zoooote uzijuazo duniani.. uende Serengeti kutalii, kwichi kwichi muhimu, sijui Zanzibar,sijui taifa kucheki boli(mama jay ninushahidi tosha), uende bar kula bieeere, zitashuka chini utatamani kumuinamisha mtu, so kwichi kwichi iache iiwe kwichi kwichi.
[emoji1787][emoji23]
Basi hizo zinakua sugu sasa sio weusi wa kawaida😃😃Waelimishe wenzako wajue. Okoa taifa.
But wengi wanasema nyingi hazifanyi kazi ndio maana wadada wengi wa mjini huenda kutibiwa kwa mamilioni kwenye clinics ndani na nje ya Tanzania.
Uzinzi na uasherati nimeacha muongo mmoja uliopita.Alooo ndo uje na paragraph qabisa[emoji119][emoji3], yot qwa yote iyo kwich kwich yako sio kipaumbele kwangu[emoji41],,ila uache uzinzi[emoji1787]
Baba J upo?wifi wa forum hajambo?Asiejua maana haambiwi maana[emoji28]
We hiko ni nini😃😂😂🤒🤔🤥
picha kusindikiza uzi🤣We hiko ni nini😃😂😂🤒🤔🤥
Pambana na damu changa aisee mi nishakula chumvi🤣🤣🤣Shangazi huna bayaa itabidi tufanye jambo soon😍
Nadhani Tandam ndo Zina Tatizo la hivo[emoji4]
Uzinzi na uasherati nimeacha muongo mmoja uliopita.
[emoji23][emoji23]
Chumvi ndio hunogesha utamu wa mboga. Damu changa zimebobea kwenye usumbufu kitu ambacho mndewa sifagiliagiPambana na damu changa aisee mi nishakula chumvi🤣🤣🤣
Uko vizuri!Mishangazi ndio yenyewe, mie masuala ya kudate na vitoto vya 20+ ni big NO.
Una nini lakini we binti 😂🤣. Hakiyanani vile nimeacha.Wew huyo ndo wakuacha izo kitu[emoji38]?, labda wew sio wew[emoji23]
🤣🤣🤣Kwa hiyo unataka Wandewa wenzio?Chumvi ndio hunogesha utamu wa mboga. Damu changa zimebobea kwenye usumbufu kitu ambacho mndewa sifagiliagi
Una nini lakini we binti [emoji23][emoji1787]. Hakiyanani vile nimeacha.
Mimi ndio mimi, nimeacha.