Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutmbea na wasichana wadogo

[emoji23][emoji1787][emoji1787] Hayo maswala ya ublack ndio sikutaka kuyaona ndio maana nikaemda uchochoroni.. black + dark.. !??

Muhimu utelezi tu, kwani hizo dark inner thingz zinahamia kwangu.[emoji23]

Kijana wa hovyo wew[emoji3][emoji3] unajehanam ya pekeako
 
Unafikiri ni wanaume wote wanazingatiaga kuangalia angalia kukaguakagua basi😁 Wengine wanaingizaga chululuu tu ikiingia basi... Wanapigwaga na kitu kizito kichwani kwa kuambiwa "Bebi tuzime taa"
 
Tatizo inategemea una deti na mwanamke wa aina Gani kama una deti na majimama ya ubandani usitegemee mazuri.
 
Picha
 
Kapicha basii🙂
 
Mkuu sijawahi kukupa like lakini kwa hii post unahitaji nikupe like
 
Duh hv kinachoongelewa hapa nn 🤔🤔🤔au wenzangu mna dunia yenu tofauti? Huo weusi unakua kwenye angle Gani? Na mwanamke akiwa mweusi huo uweusi mnaousema utakuepo?
 
Duh hv kinachoongelewa hapa nn 🤔🤔🤔au wenzangu mna dunia yenu tofauti? Huo weusi unakua kwenye angle Gani? Na mwanamke akiwa mweusi huo uweusi mnaousema utakuepo?
Usiombee yakukute mkuu utaombea ardhi ibomokeutumbukie ndani
 
Hsyo ni matokeo ya kunyoa pubic hair mara kwa mara so lazima kuweke usugu kama vile kidevu cha mwanaume kinakuwa cheusi baada ya kunyolewa sana ndevu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…