Weusi kati kati ya mapaja (dark inner thighs) chanzo cha wanaume wengi kutmbea na wasichana wadogo

Hsyo ni matokeo ya kunyoa pubic hair mara kwa mara so lazima kuweke usugu kama vile kidevu cha mwanaume kinakuwa cheusi baada ya kunyolewa sana ndevu..
Asante kwa ujumbe. Umeokoa taifa
 
Hsyo ni matokeo ya kunyoa pubic hair mara kwa mara so lazima kuweke usugu kama vile kidevu cha mwanaume kinakuwa cheusi baada ya kunyolewa sana ndevu..
Nadhani the opposite is the case ukichanganya na Mkorogo
 
Umewahi kula supu ya kichwa cha ng'ombe?Pua yake huwa unakula?πŸ€”
 
Ni Kweli,wadada wembamba na size ya kati hawana kabisa hiyo...Ile ni msuguano wa mapaja
Fungus na tight wakati wa joto zina sababisha hiyo kitu kwa wembamba pia.
Hasa tight zenye material ya kipira (nylon na polyester)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…