Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

The Eric

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
6,446
Reaction score
10,976
Habarini za wakati?
Hivi wewe huwa una mazoea ya kujiunga kifurushi cha muda gani nimeconsider time interval in term of Daily bundle, Is it weekly, or monthly bundle.

Watanzania wengi najua tunaishi kwa mazoea ya aina fulani, we're very lating in exposure and exploits whatever around us.
Najua kuna wengine watauliza wewe unauliza ili unufaike na nini?
Nyoosheni mikono juu mjibu hili swali.

Note:
Somes huwa wanatwanga bila kifurushi (wachache 2%)
 
Huwa natamani kutumia kifurushi cha mwaka au miezi sita, lakini sijawahi kukuona. Naimani kitakuwa cha gharama nafuu
Hata mimi sijawahi kukiona lakini mwezi ndiyo gharama nafuu.
 
Habarini za wakati?
Hivi wewe huwa una mazoea ya kujiunga kifurushi cha muda gani nimeconsider time interval in term of Daily bundle, Is it weekly, or monthly bundle.

Watanzania wengi najua tunaishi kwa mazoea ya aina fulani, we're very lating in exposure and exploits whatever around us.
Najua kuna wengine watauliza wewe unauliza ili unufaike na nini?
Nyoosheni mikono juu mjibu hili swali.

Note:
Somes huwa wanatwanga bila kifurushi (wachache 2%)
Mi sijuingi chochote muda wa maongezi bure na bando natumia wifi ya ofisi.[emoji41]
 
Hata mimi sijawahi kukiona lakini mwezi ndiyo gharama nafuu.
Wiki n gharama nafuu over day kwa day
Mwezi n nafuu over wiki
Mwaka ni nafuu over mwez kwa mwezi
Kuna ile huduma ya pre-paid niliwahi kuisikia zaman kidogo enzi za celtel ikiwa hai,, sijui km bado ipo au la!!?
 
Mi sijuingi chochote muda wa maongezi bure na bando natumia wifi ya ofisi.[emoji41]
WiFi sawa, na muda wa maongezi wa bure ndio aje??
Au unalipiwa na ofis km unavyolipiwa bando thru wifi
 
Wiki n gharama nafuu over day kwa day
Mwezi n nafuu over wiki
Mwaka ni nafuu over mwez kwa mwezi
Kuna ile huduma ya pre-paid niliwahi kuisikia zaman kidogo enzi za celtel ikiwa hai,, sijui km bado ipo au la!!?
Mhh prepaid haipogo nadhani, halotel wazuri mfano mimi natumia halotel Tsh.10000 royal bando unapata GB7, dakika mitandao yote 150 dk, 400dk halo to halo na 500 SMS kwa muda wa mwezi mmoja. Ukilipia kwa Halopesa badala ya kulipa kwa Tsh 10000 utalipa kwa Tsh. 9500 kupitia Halopesa.
 
Ofisini na nyumbani free wi-fi, dakika naunga kupitia vocha ninazopewa na ofisi ila huwa zinabaki nauza nyingine.
 
Back
Top Bottom