Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

Tigo kupitia ofa ya "Saizi yako "wanatoa Dkk 100, Gb 1 na sms 100 by 3days kwa Tsh 1000/=. So kila baada ya siku 3 najiunga 1000/= kwa mwezi = 10000/= kwa Gb 10 dkk 1000 na sms 1000
 
15k per month. 10k zantel; 550mins, 7.5GB and many sms's. 5k Airtel kukiwa na uhitaji huo.
 
Kifurushi cha mwezi airtel; dakika 150 mitandao yote, sms 50

Halotel gb 1 weekly kwa buku


jumla 5500 kwa mwezi
 
1000 GB 1 Siku 7
1000 Dakika 50 mitandao yote siku 7

Halotel
 
Me Halotel

10000: Dakika 1250 All network, Monthly
1000: sms 5000, Monthly
1000: 1Gb , Weekly

So kwa mwez Natumia 15000

Kwa Sasa naona ndo mtandao wenye gharama nafuu kuliko yote......
 
Back
Top Bottom