Unatumia shillings ngapi kwa tiGO na Halotel kote jumlaMi napiga wiki wiki data halotel wiki na Call Tigo week imeisha hiyo.
Mi sijuingi chochote muda wa maongezi bure na bando natumia wifi ya ofisi.[emoji41]Habarini za wakati?
Hivi wewe huwa una mazoea ya kujiunga kifurushi cha muda gani nimeconsider time interval in term of Daily bundle, Is it weekly, or monthly bundle.
Watanzania wengi najua tunaishi kwa mazoea ya aina fulani, we're very lating in exposure and exploits whatever around us.
Najua kuna wengine watauliza wewe unauliza ili unufaike na nini?
Nyoosheni mikono juu mjibu hili swali.
Note:
Somes huwa wanatwanga bila kifurushi (wachache 2%)
Wiki n gharama nafuu over day kwa dayHata mimi sijawahi kukiona lakini mwezi ndiyo gharama nafuu.
WiFi sawa, na muda wa maongezi wa bure ndio aje??Mi sijuingi chochote muda wa maongezi bure na bando natumia wifi ya ofisi.[emoji41]
Mhh prepaid haipogo nadhani, halotel wazuri mfano mimi natumia halotel Tsh.10000 royal bando unapata GB7, dakika mitandao yote 150 dk, 400dk halo to halo na 500 SMS kwa muda wa mwezi mmoja. Ukilipia kwa Halopesa badala ya kulipa kwa Tsh 10000 utalipa kwa Tsh. 9500 kupitia Halopesa.Wiki n gharama nafuu over day kwa day
Mwezi n nafuu over wiki
Mwaka ni nafuu over mwez kwa mwezi
Kuna ile huduma ya pre-paid niliwahi kuisikia zaman kidogo enzi za celtel ikiwa hai,, sijui km bado ipo au la!!?
Hapo sawa halotel wiki mitandao yote ni kikwazoBuku halotel kwa wiki na kina DKK pia!
Lkn cha mhim an cha SMS cha mwezi kwa buku pia
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu nalipwaWiFi sawa, na muda wa maongezi wa bure ndio aje??
Au unalipiwa na ofis km unavyolipiwa bando thru wifi
Huku stendi lakini nanunuliwa vocha na maboss wenye magari yaoWiFi sawa, na muda wa maongezi wa bure ndio aje??
Au unalipiwa na ofis km unavyolipiwa bando thru wifi
OkNdio mkuu nalipwa
za mtandao gani mkuu?Ofisini na nyumbani free wi-fi, dakika naunga kupitia vocha ninazopewa na ofisi ila huwa zinabaki nauza nyingine.
Mtu unajiunga cha wiki hakimalizi hata siku mbili chaliNajiunga kifurushi cha mwezi kila wiki. Wakati mwingine nikiwa sina hela najiunga cha wiki kila baada ya siku mbili. Natumia Voda.