Wewe huwa unajiunga kifurushi cha muda gani kwenye simu yako?

Cha mwezi elf35 GB30
 
Zantel wanakifurush wanaita cha chuo kizuri sana kwa sisi watumiaji wa Tecno
Dkk 160 all nets, 1.5Gb kwa wiki.
Na wale Heavy Internet Users hamjasahauliwa
 
Muda wa maongezi nanunua kifurushi cha mwezi, na kifurushi cha internet nanunua cha siku tatu
 
Vifurushj vinategemea na matumizi ya laini yako, tigo nimetumia maika 10+ wameniwekea gharama juu sana, nimeamia voda najiunga kwa week, sema internet yao inasuasua.
 
πŸ–οΈ
 
Natumia line ya Tigo. Kupiga najiunga cha mwezi 10K combo.
Internet nmejiunga na postpayment. Nmejiunga cha GB30/month kwa 25K. Kama hazijaisha nalipia ya chini
 
Natumia line ya Tigo. Kupiga najiunga cha mwezi 10K combo.
Internet nmejiunga na postpayment. Nmejiunga cha GB30/month kwa 25K. Kama hazijaisha nalipia ya chini
Mkuu wewe bando haliishi kabisa.
 
Vifurushj vinategemea na matumizi ya laini yako, tigo nimetumia maika 10+ wameniwekea gharama juu sana, nimeamia voda najiunga kwa week, sema internet yao inasuasua.
Tafuta line za halotel na Airtel wapo vizuri.
 
Halotel kifurushi cha mwezi kuongea dk 300 sh. 5000,mitandao yote.

Bando kwa wiki 2 gb zinatosha, mega bando halotel,sina mambo mengi

sms bando 1000 kwa mwezi sms 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…