Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
Ulimfatia nini sasa Mwanza hadi Dar. Au hujawahi kupanda mabasi ya kwenda mikoani ndio mtu anaina nafasi imejitokeza. Urafiki si mnajenga hata kwenye simu?? Fanya mawasiliano ya kuzoeana kwenye simu. Siku ikitokea umeenda Dar na mishe zako mpe taarifa mtaonana mtasalimiana na hawezi kukuwekea vikwazo au kukupangia vitu.
Sababu pa kufukia unapo, nauli umejileta mwenyewe kwa mishe zako na ya kuondoka unayo pia. Hasa mtoa mada hapa kaja safari ambayo kapangiwa na mtu na kaondoka bila kupenda. Maisha gani hayo.
Sasa ungemfunulia si ndio ungechanganyikiwa zaidi.....shukia chalinze chukua coaster urudi Magomeni NefalandAlinichanganya na mbinu zake
Usiwaze😂Akija usisahau kuniita
Huyo jamaa sema kweli kazingua.Jamani wanaume wakati mwingine kubalini kushindwa heee kila kitu mnataka washindwe wanawake tu?
Ina maana hujaunganisha code ujue ni nani huyo?Akija usisahau kuniita
Kwahyo ni mashindano? Haya na mchukue hilo kombe. 95% huyo dada angeliwa angekuwa kajitakia mwenyew kwa kuandaa mazingira. Kuwa mwanamke/mwanaume isiwe kigezo cha kukubaliana na kila kinachoendelea ndani ya jinsia husika.Hivi wanaume mbona mnapenda kuwakomesha wanawake ila ninyi hampendi wao wawakomeshe?
Wakati mwingine inatakiwa mkubali tu kukomeshwa mara moja moja khaa yaani kila kitu washindi muwe nyie tu!
Una umri gani wewe binti? Kwamba unakuwa na mahusiano na mwanaume ila hujui anachokitaka kwako?Ni fundisho kwa wale wanaume ambao unakuwa naye kwenye mahusiano bila kukwambia wanataka mahusiano ya kimapenzi
Utoto umewazidi auntie
[emoji16][emoji16] we unawajua wa mashineni na wawap wengine?Mkuu wewe nyuki wako wa wapi
Sijui nije mm huko pm , tukapime napenda Sana mwanamke anenishurutisha kupima aisee, nakua na Aman Sana, nakutaman balaaKuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa
Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza
Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi
Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida
Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali
Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio
Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim
Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Ukiitwa utuite nasisi wa mabonden hukuAkija usisahau kuniita
We kaka uliyekimbiwa usikubali nakwambia njoo hapa utupe ushuhuda otherwise hiii ni chai tena ya maji ya chumvi isiyo hata na viungo.
BalaaaPatakua hapatoshi aisee🤣🤣
Hehehe umiza kichwa kidogo utagundua.Tusaidie Shunie
Kwanini huyo mwanaume asingemwambia akiwa huko huko Mwz kuwa anataka aende Dar akalale naye?
Hapo hakuna cha kujiongeza wala nini kama kweli ninyi ni vidume si mngekuwa mnafunguka gharama hizo vipi?
Nachangamsha genge😂😂Kumbe mchochezi wewe
Nachangamsha genge[emoji23][emoji23]
Hebu wajifunze mambo yao ya huko nje wayamalizage huko huko. Lasivyo kama wameamua kujitoa akili basi wawe wanatushirikisha tangu hatua za awali kabisa ili twende sambamba.Luck of maturity dada