Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Ulimfatia nini sasa Mwanza hadi Dar. Au hujawahi kupanda mabasi ya kwenda mikoani ndio mtu anaina nafasi imejitokeza. Urafiki si mnajenga hata kwenye simu?? Fanya mawasiliano ya kuzoeana kwenye simu. Siku ikitokea umeenda Dar na mishe zako mpe taarifa mtaonana mtasalimiana na hawezi kukuwekea vikwazo au kukupangia vitu.

Sababu pa kufukia unapo, nauli umejileta mwenyewe kwa mishe zako na ya kuondoka unayo pia. Hasa mtoa mada hapa kaja safari ambayo kapangiwa na mtu na kaondoka bila kupenda. Maisha gani hayo.

Ndomwanzo wakuliwa mande huu
 
Jamani wanaume wakati mwingine kubalini kushindwa heee kila kitu mnataka washindwe wanawake tu?
Huyo jamaa sema kweli kazingua.

Wakati nikiwa katika balehe nilikutana na mwanamke mmoja na yeye ana nyodo za hivyo, siku moja nikaingia naye lodge eti analeta mashauzi. Nikamwambia basi tulale na kweli usingizi huooo kila mtu anakoroma.

Nikaamka nikapiga punyeto wakati nakojoa nikakojoa kwenye nguo yake kwa nyuma na kisogoni kwake kwenye wigi.

Ameondoka baada ya dakika 30 akaniuliza bado upo lodge nikamwambia ndiyo akasema nakuja. Akaja cha kwanza akafikia bafuni anaoga na mimi nikaenda huko huko kuoga na kumla.

Alilala na mimi usiku mzima na nikamtoboa toboa sana. Imagine hizo ni enzi za balehe je sasa hivi nimekuwa mtu wa aina gani?
 
Hivi wanaume mbona mnapenda kuwakomesha wanawake ila ninyi hampendi wao wawakomeshe?

Wakati mwingine inatakiwa mkubali tu kukomeshwa mara moja moja khaa yaani kila kitu washindi muwe nyie tu!
Kwahyo ni mashindano? Haya na mchukue hilo kombe. 95% huyo dada angeliwa angekuwa kajitakia mwenyew kwa kuandaa mazingira. Kuwa mwanamke/mwanaume isiwe kigezo cha kukubaliana na kila kinachoendelea ndani ya jinsia husika.
 
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Sijui nije mm huko pm , tukapime napenda Sana mwanamke anenishurutisha kupima aisee, nakua na Aman Sana, nakutaman balaa
 
Kwanini huyo mwanaume asingemwambia akiwa huko huko Mwz kuwa anataka aende Dar akalale naye?

Hapo hakuna cha kujiongeza wala nini kama kweli ninyi ni vidume si mngekuwa mnafunguka gharama hizo vipi?

Mariana unaniangusha, hivi kwa akili za kawaida tu mwanaume sio ndugu yako wala baba yako akutumie nauli utoke Mwanza kuja Dar kupiga story? Au wenzetu mnaishi dunia gani maana mie naona kama nipo Pluto.

Wanaume gani kwanza mnawaongelea labda tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom