Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Yani mtu aache shughuli zake amfuate mtu mbali hivyo eti wasalimiane.

Mbona hakwenda kumsalimia mjomba wake kijijini
Nimelaumu sana huyo msela kama kweli hakumla huyo digidigi.

Yaani kuna wanaume wachache wanatuangusha sana.
 
Kuna mkaka wa humu,alianza kama utani huko Pm,kama kawaida yao kwa kuomba namba ya WhatsApp walivyo fasta,akaniomba nikampa

Tumezidi kuwasiliana,na kuanza kuzoeana ingawa yeye yupo Dar ,na Mimi nikiwa Mwanza

Alianza kama marafiki,tukawa tunapiga stories za maisha hapa na pale,bila kuniambia kuwa ananihitaji kimapenzi

Sasa juzi kanitumia nauli nije huku Dar tukutane na kufahamiana zaidi,basi nikamwambia hamna shida

Nikaanza safari,kufika Dodoma ndo akaanza kuingiza stories za kulala pamoja,nikamwambia for first time haitawezekana,nitakuja huko tutaonana,basi siku nyingine nikija ndo tutafanya hivyo,akakubali

Nikafika hapa Dar,akanipokea fresh,akanipeleka hotel tukapata chakula,,ila akawa ananiomba tulale pamoja nikakataa,akalazimisha nikahisi nisipoweka kigingi kizito hapa naweza kuingia online bila matarajio

Basi nikamwambia,kesho yaani nipo tayari kwa hilo unalotaka ila sharti la kwanza tukapime magonjwa ya ngono,akakataa,nikamwambia basi nikachukulie chumba nikalale akaniuliza ila tutalala pamoja,nikamwambia wewe kachukue tutaongea huko chumbani,wakati ananyenyuka nikaita Tax nikasepa na kuzima sim

Haraka zenu muda mwingine mtakuwa mnaambulia zero,na kwa nini hutaki kupima zinaa kwanza,wengine tuna allergy na kondom,I'm sorry jamani,nipo nakata tiketi kwa ajili ya safari ya kesho
Mambo mengine msilaumu wanaume hivi wewe unatoka Mwanza unasafiri kwa gharama za mtu hafu unategemea akuache ili umuone bwege. Hata ningekuwa mm sikuachi aisee tena ningeshakwambia kabla hujatoka Mwanza.
 
Kanishangaza sana na mleta mada ananiuliza ningeanzia wapi kumbaka?? [emoji3] [emoji3] Serious hilo ni swali. Naanzia popote ili mradi niingie mwilini kwake.

Yeye kama anaanziwa kubakwa mbele mimi naanzia kanda ya kusini.

Wanaume tunapungua sana.
Napiga yowe hadi unaniacha mwenyewe,au najifanya nina majini,mbona utakimbia mwenyewe
 
kila anayekugonga huwa mnapima kwanza au basi tu umeamua kumzingua mwana
 
Kanishangaza sana na mleta mada ananiuliza ningeanzia wapi kumbaka?? [emoji3] [emoji3] Serious hilo ni swali. Naanzia popote ili mradi niingie mwilini kwake.

Yeye kama anaanziwa kubakwa mbele mimi naanzia kanda ya kusini.

Wanaume tunapungua sana.
[emoji16] kweli wanaume tunapungua kwa kasi sana, hizi sio nafasi za kupoteza kabisa mbaya zaidi unapoteza kwa gharama
 
Unaenda kwa mwanaume kufanya nini. Mwanaume anakuita kutoka Mwanza hadi Dar mje kupiga story.
Wanaume wenyewe hawa.
Whatsapp video call hamna!! Kama angetaka urafiki wa kawaida asingekuita toka Mwanza hadi Dar, urafiki wa kawaida huwa unaendelea hata kwenye simu tu.
Kwani kuna ulazima wa kusex na mtu kama bado hamjawa karibu zaidi?
 
Pole sana...

Ukiona mtu anakataa kupima ujue huyo hayupo kwa ajili ya future na wewe, yupo kwa shorttime...

Kama ulivyoshauriwa haya mambo ungebaki nayo mwenyewe, ingawa pia hukatazwi kuyaweka hadharani...

Huoni kwamba akija kujua umemuanzishia thread mnaweza mkaanza kuanikana in a negative way kitu ambacho hakitakua kizuri... wakati umelianzisha mwenyewe...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom