Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

Panapokuwa patamu ni pale unapopima unasubiri majibu alafu lab technician anakuita na kukwambia samahani naomba nikupime tena..... ujue hapo tayari parapanda imeanza ku beep.
Nipo upande wa huyo kaka kwa jambo moja tu...kukataa kupima

cutelove kupima sio jambo dogo eti,bora ingekuwa kupima malaria basi
 
Hao tayari walikua n wapenz maana dada alishatekwa hakuwa na ujanja hadi akaamua kumfata dar, isingekua hvyo asingemfata mapema yote hyo
Sasa kama ni mp
Hao tayari walikua n wapenz maana dada alishatekwa hakuwa na ujanja hadi akaamua kumfata dar, isingekua hvyo asingemfata mapema yote hyo
Huyo kaka alitaka mapenz ya kupita tu
 
Harusi bado tu Mrs Smart, najua kuna wadada humu wanatamani sana couple yenu. Ila ngoja niwaase kitu kimoja waache kufake maisha huku mtandaoni itabidi uwape ABC's watapata wenzi wa maisha yao.

usijali ndugu tutakamilisha ... make tunakulana mwaka wa 3 sasa teh . kwakweli the man is blessed enough anajielewa na hana Shida kabisa.
Smart911 love nawe pokea hizi pongezi. .

Shukrani
 
Back
Top Bottom