Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
🙌Kumbe wewe ni very cheap yaani elfu 30 kwa siku!! Endelea na huyo size yako anakufaa! Wengine tumezoea kutoa zaidi ya Laki kwa siku na vikombezo vingine zaidi wewe endelea na MATONYA wako huyo!
Absolutely
Asante ila ana wake watatu tutaweza kudhibiti ukimwi?Pimeni ukimwi