Wewe kaka wewe, toka huko PM njoo uniahidi hapa

Asante ila ana wake watatu tutaweza kudhibiti ukimwi?

Sent using Jamii Forums mobile app

We jishebedue na uongo wako tu hapo.

1. Ungesubiri angalau Corona iishe ndo ututengee chai
2. Una nini cha kukupa elfu 30 kwa siku?

Uje umtafute mwendawazimu,muogeshe na mvishe vizuri, tembea nae barabarani,uulize mwehu ni nani. Jibu lako utapata
 


Hata hivyo we ni mzuri unafaa kabisa kupewa ulivyoahidiwa tatizo umekosa uvumilivi umekuja kumwaga huku hadharani!!
 
Kuna mwana JF tumtegemee kuliwa hivi karibuni
 
Kama ni kweli basi Formular kwa madon wa Tanga ni kama ifuatavyo.
Ahadi = Mtaro + chura
Uchambuzi wa fomular.
Kama umejaza bonge la mzigo/tako/chura/shepu/mswambwanda/wezere/choo kubwa na la kutosha. Na upo tayari kutoa choo/tigo/ndogo/mtaro/sumaku kwa ufundi wa hali ya juu basi ahadi zote utatimiziwa na zingine zaidi ya hizo. Lakini Pia fatilia umiliki wa sheli huko ewura au brela ukilinganisha na jina lake halisi ili kujihakikishia kabisa umiliki. Ila kama ni chai basi andaa mikate tu, pia jiandae kupokea nauli elekezi ya 7800/=.







Mwamba unayepambana PM endelea kukaza utajilia vyako hivi karibuni.
 
Kwahiyo ww uko kimaslahi kipesa huko kimaslahi kindoa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ndio maana unaomba sana total lockdown, yaani haziishi siku unaomba serikali iweke lockdown watu wafe njaa majumbani, kumbe safari hii umeahidiwa 30k, sio mbaya toka 7800.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Kwa hiyo umeamua kuja kunianika hapa sio ustaarabu Ujue.!
Kama hukuniamini ungenikataa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mademu wa kibongo kwa tamaa za kisenge, unakataa kweli wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…