Mi mgeni hapa jukwaani hivi hiyo pm wanaingilia wapi ? Ni hapa kwenye kibahasha?
Kwa akili hizi bora akuchakate na kuku dump tuJamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa ushahidi wa umma kwenye mahaba hii mpya ya zama za corona, mahaba mtangazo!!Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo mkuu, fungua tu profile ya mtu gusa hapo.Mi mgeni hapa jukwaani hivi hiyo pm wanaingilia wapi ? Ni hapa kwenye kibahasha?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kutoka 7800 mpaka kusimamia sheli, maisha yanaenda kasi sana jamani!
Labda wanataka tuwapmKwa hiyo tuwasaidieje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha tena ngazi kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo keshapanda ngazi ujue
Mama mwenye nyumba na msimaizi wa sheli! Sijui ndo managerHahahaha tena ngazi kubwa
Eeenh manager kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama mwenye nyumba na msimaizi wa sheli! Sijui ndo manager
😂😂Jamani mbona mimi nyie wadada PM hamunijibu? hao munaochati nao wananini? sijui hata nakwama wapi kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeenh manager kubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada mbona unatukandia wanaume wa jf si ndo sie wa mtaani au sisi tunatoka mbingu isiyofahamika..?Mwanaume wa jf kwenye ubora wake [emoji1787] na wewe unakubali kudanganywa kifala hivyo mpe papuchi sasa uone rangi zote