Sio kuwakandia bwana kadanganywa anaona kapata tajiri wa mafuta kumbe mwenzie yupo kwenye mpango wa kumkula kimasiharaDada mbona unatukandia wanaume wa jf si ndo sie wa mtaani au sisi tunatoka mbingu isiyofahamika..?
Nabashiri nyinyi ndo wale mliokosa Siri toka utotoni! Utasikia "Mama kenzy na nanii walikuwa wanafanya matusi"[emoji23]
Halafu kwa kukandia unaongeza "halafu kenzy akamuumiza mwenzake"[emoji1787][emoji1787]
Na still bado mnatufata hadi ukubwani[emoji28][emoji28]
Dah! Unabisha wakati pale umeandika "wanaume wa jf" inabidi tuanzishe mgomo😂Sio kuwakandia bwana kadanganywa anaona kapata tajiri wa mafuta kumbe mwenzie yupo kwenye mpango wa kumkula kimasihara
Wala sijawaweka kwa uwingi nimemsemea wake rudi usome vizuriDah! Unabisha wakati pale umeandika "wanaume wa jf" inabidi tuanzishe mgomo[emoji23]
Haliwi kimasihara we acha kitu kiyeye maana kwanza habanduliwi kusema atakosa milele.. unamkandia baharia mwenzetu hujui kuna msemo usimuamshe Alie lala utalala wewe! Shauli yako [emoji23][emoji12]
Integrity, is to keep other people's secrets even after break.Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini muache kila moja atumie kichwa yake aliokuwa akiipeleka shule asubuhi asubuhi! Hapo ndo tutaona faida ya umande uliokuwa ukimdanda asubuhi😜😉Wala sijawaweka kwa uwingi nimemsemea wake rudi usome vizuri
Sawa mkuuSawa lakini muache kila moja atumie kichwa yake aliokuwa akiipeleka shule asubuhi asubuhi! Hapo ndo tutaona faida ya umande uliokuwa ukimdanda asubuhi[emoji12][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa mkuu
Sawa, shukrani mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo keshapanda ngazi ujue
Sijambo mimi jamani mwanakamati!Mwanakamati za Masiku?? nimekukumbuka leo aise Mzima? Corona vipi uko?
Sijambo mimi jamani mwanakamati!
Nimekumiss ya hela yote!
Huku ni mambo sio mambo kabisaa
kama unamashaka mpe bureJamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi
1. Nikimkubalia atakuwa ananipa hela ya matumizi kila siku si chini ya elfu 30
2. Nikimkubalia ataninunulia gari na nyumba Tanga
3. Nitasimamia kituo cha mafuta moja ya shell pale Tanga
Wadau nimekuwa na mashaka na ahadi zake hizi nzito kama ni kweli mpaka muda mwingine nakuwa na mashaka na ahadi zake
Naomba aje hapa anithibitishie kama kweli ni ahadi za kweli na kama ni kweli nipo tayari kuwa mke wake wa 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Muheza jamani mwanakamati!!Upo Moshi au wap ww?
Pole na Mchaka mchakaa aisee si tumejifungia tu tunatoka kwa kuvizia [emoji23] usisahau kujifukiza
Wewe Vutelove umeona uniabishe humu?.Sio vizuri acha hizo.Jamani kuna mkaka humu huwa tunapiga stories sana pm ila nimepata mashaka kwa ahadi anazo niahidi