Wewe Makonda, uadilifu umeanza lini? Makontena yako 20 ulikwepa kodi ya sh. 1.2 bilioni. Acha kuhadaa wananchi

Dogo kisha washinda vibaya sana, endeleeni kujipiga madole ndukumi zenu huku mkijinusa
 
Senior security wa vinyesi
 
Makaburi
 

Mambo hayo hayahusiana na anayofanya sasa hivi, Makonda anafanya kazi nzuri sana let me be honest, hii itamnyooshea mapito Mama yetu Samia na uchaguzi utakuwa mrahisi kwa CCM, hayo mengine ya wakati ule hayana nafasi kwa sasa..

We are not looking for a saint, we want someone who can make the job done in CCM kwenye nafasi ya Katibu Mwenezi and we found him, na ni Makonda, mengine hatutaki at the moment..!!
 
Kama hamna ajenga nyie Mafisadi ,Mazembe na mko kwenye ofisi za Umma lkn mnakosa uzalendo na utu kwà watu maskini hawa.Mwacheni Makonda awafute machozi watu hawa wanyonge wanateseka sana kwà sababu yenu.
Yaani unaamini kabisa makonda kama Makonda anaweza anaweza kufuta ujinga ambao umekaa kimuundo hapa kinachohitajika ni mabadiliko ya system nzima maana ipo siku makonda ataondoka huoni tutarudi kule kule
 
Endeleeni na drama zenu huku mitandaoni mtakuja kushituka pameshakucha.
Your browser is not able to display this video.
 
Anadhani tumesahau.
Huyu Bashite hatujasahau uhuni wake
KWANZA alipaswa akae rumande kwa kudanganya Majina, kughushi nyarara, kufanya blackmail na kuua
Umeguswa pabaya tayari mshaanza kulialia kuna mtu kashaukanyaga ugali wenu
 
Noma sana mshaanza kupaza Sauti, tungekua na watu km hawa 100 hivi hii Nchi ingekua tishio
 
Noma sana mshaanza kupaza Sauti, tungekua na watu km hawa 100 hivi hii Nchi ingekua tishio
Ninyi ndiyo wale wajinga mliomsifuu mwendazake baadae mkamgeuka akili zenu kama bendera... Upepo unaamua fikra zenu
 
Ya makontena yaliisha pita tugange yaliopo na yajayo.
Acha Makonda awanyooshe hawa watumishi wadhulumaji wa haki za watu.
 
Ya makontena yaliisha pita tugange yaliopo na yajayo.
Acha Makonda awanyooshe hawa watumishi wadhulumaji wa haki za watu.
Jambazi akisema anwanyosha majambazi wenzake, chukua tahadhari, maana huenda anakulaghai ili aje ukafanyie ujambazi zaidi kuzidi hata wa kale.
 
Yaani, huyu jamaa hata uharo wake haujakauka eti anajigeuza mtetezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…