Wewe Mchezaji Mzawa wa Simba SC uliyeiba 'Soksi' ya Mchezaji Aubin Kramo ili 'Ukamroge' mrudishie haraka sana

Hes 23:23

Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!
 
Kumsoma, Kumfuatilia na Kuburudika na Fundi / Mtaalam wa Habari za Ndani na Ngumu GENTAMYCINE.

Asante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.
100% mimi hua sio fan wa huzi stori zako za ulozi to be fair.
Ila kwenye swala la Kujiamini na kujipamba I'm your biggest Number 1 Fan Mkuu😅😅

Mi nasomaga uzi ila nikikosa Majigambo yako pale mwishoni napita shwaaaa😅😅
 
Jina : Genitamycine.

Kuzaliwa : mwaka 1982.
Mahali: bunda vijijini.

Achievement: followers 102 at Jamii Forums.

N.b: mods futeni habari za uzushi kama hizi. Watu wanasikia story kwenye kijiwe cha mshona viatu huko kwao vijijini then wanazibeba kama taarifa rasmi na kuzipublish hapa jf. Wanashusha hadhi ya jf
 
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani Mkoani Singida.

Haraka sana nenda kwa huyo Mganga wako wa Kienyeji Milimani Morogoro ulikopelekwa na Kipa Mzawa Mgonjwa ukaichukue kisha kawape Wazee wa Simba SC, Waombe Radhi na Wao watakusaidia Kulimaliza hili na hata Kijana wa Watu Aubin Kramo atakusamehe na nyote mtaendelea Kukipiga Klabuni na kuipa Timu Mafanikio.

GENTAMYCINE nimeamua Kukuonya mapema kwakuwa nawajua hao Wazee wa Kusoma Kitabu ( hasa Dua Kali ) kutokea huko Visiwani Zanzibar walivyo na huwa hawatanii na sitaki kukuona ama Unakufa au unapatwa na Balaa Kubwa.

Na Dogo nae ( Aubin Kramo ) muda Wowote anaruhusiwa kwenda Kwao nchini Ivory Coast hivyo angalia nae asiende Kukulipizia huku Akijiganga vyema na Wewe Mabalaa kuanza Kukuandama kama Mchezaji wa Yanga SC mwenye Kipaji kikubwa Stephane Aziz K nae alipoumizwa Kiushirikina na aliyetetewa na Mama ( Mzanzibari wa Mbagala ) kujikuta kila mara tu anaumia Goti, anakosa Magoli na Haeleweki na aliporejea tu Kwao nchini Burkina Faso huku Tanzania mbaya wake Mkuu nae akaanza Kuchanganyikiwa na kudai huwa anakula Ugali, Tembele na Sukari na kwamba ana Maisha magunu Klabuni.
Kwa hiyo timu ni nzima ni ya kishirikina (Bush Stars?).
Maana soksi imepotea timu na uongozi wote wakastuka sana. Uongozi ukaja na suluhu ya kulitatua kishirikina, wameitwa washirikina ili kuja 'kusoma kitabu'.
Pia miaka ya nyuma walifanikiwa kuwaua wenzao kishirikina baada ya kuwatuhumu kuwa wanaisaliti club😳.
Washirikina Sports Club (WSC) or Bush Stars.

Njoo useme 'Rubbish' uone.
 
Genta hujawahi kuwa Chawa na naamini hautawahi kuwa Chawa wa Mtu yeyote.
Lakini Kwa hili la Kramo, aidha Kwa makusudi au Kwa kutokujua umejikuta unatumika kuficha madhaifu ya viongozi waliofanya usajili. Kramo ni injury prone na maneno ya Ahmed Ally juzi kwamba alitoka Asec akiwa na jeraha la goti ni sahihi na yanathibitisha watu wasivyo makini kwenye usajili. Viongozi wanasajili mchezaji Kwanza halafu ndo wanampeleka kwenye vipimo wakati malipo yake ya awali na manunuzi kwenye timu yake mama yalishafanyika. Hili limefanyika pia Kwa mchezaji mmoja (Kipenzi chako) ambaye Kwa Sasa ili kuficha udhaifu huo anachezeshwa dakika 25 Hadi 35 per match Hadi ukaanza kupiga kelele kwamba anabaniwa. Lakini ukweli ni kwamba tunampunguzia Muda wa kutumika na tunahakikisha anaingia Muda àmbao timu zimeshachoka na ameshauriwa asicheze Kwa kukamia hiyo kazi amuachie "Kiungo Punda". Yeye ni kupokea na kutoa, na pass za mbaaali.
Unamsemea ngoma
 
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani Mkoani Singida.

Haraka sana nenda kwa huyo Mganga wako wa Kienyeji Milimani Morogoro ulikopelekwa na Kipa Mzawa Mgonjwa ukaichukue kisha kawape Wazee wa Simba SC, Waombe Radhi na Wao watakusaidia Kulimaliza hili na hata Kijana wa Watu Aubin Kramo atakusamehe na nyote mtaendelea Kukipiga Klabuni na kuipa Timu Mafanikio.

GENTAMYCINE nimeamua Kukuonya mapema kwakuwa nawajua hao Wazee wa Kusoma Kitabu ( hasa Dua Kali ) kutokea huko Visiwani Zanzibar walivyo na huwa hawatanii na sitaki kukuona ama Unakufa au unapatwa na Balaa Kubwa.

Na Dogo nae ( Aubin Kramo ) muda Wowote anaruhusiwa kwenda Kwao nchini Ivory Coast hivyo angalia nae asiende Kukulipizia huku Akijiganga vyema na Wewe Mabalaa kuanza Kukuandama kama Mchezaji wa Yanga SC mwenye Kipaji kikubwa Stephane Aziz K nae alipoumizwa Kiushirikina na aliyetetewa na Mama ( Mzanzibari wa Mbagala ) kujikuta kila mara tu anaumia Goti, anakosa Magoli na Haeleweki na aliporejea tu Kwao nchini Burkina Faso huku Tanzania mbaya wake Mkuu nae akaanza Kuchanganyikiwa na kudai huwa anakula Ugali, Tembele na Sukari na kwamba ana Maisha magunu Klabuni.

Mimi nikuanbie,
Simba na Yanga Zina Uchawi nje ya uwanja,
Ila ndani ya uwanja simba wanakogana badala ya Kucheza Mpira,
na Uongozi unelogwa ndio maana hauna nguvu ya Kukemea na Kufunga haya mambo!
Wenzetu yangu wachezaji hakuna Kulogana,
Simba wanaologa wanafahamika na wanaigopewa na Viongozi,labda nao wanawapa Ulozi!
Wachezaji wazuri wengi wakoja simba hawachezi wanaumwa tuu![emoji31]
Uchawi kwa wa hezaji simba unatisha mnooo,
Nenda yanga niambie nani analoga wenzie,Hakuna kila mtu na kipaji chake,
na Hata huyu alietoka simba aliepo yanga,Mmkude kule kamwe hatiweza kumloga mtu!
akijaribi tuu mapema wanamuondoa,
kuna wazee Yanga Kazi yao kuangalia mchezaji gani anafanya nini nje ya uwanja,
wakimjua tuu,Taarifa zinafika uongozi anatemwa.
Sisi simba tumekalia kulogana na kuwapa Ulozi viongozi ili wafumbie macho ili waendelee kubaki madarakani.
 
90% ya Wachambuzi na hata Watangazaji wenu wa Mchezo Redioni hapa Tanzania Taarifa zao za Ndani za hivi Vilabu Vikubwa huwa wanakuja hapa JamiiForums na Kunichungulia The King GENTAMYCINE nimeandika nini kisha nao Wanatambaa nazo na nimeshawaomba mno wawe wanatoa Credits Kwangu na kwa Mtandao huu wa JamiiForums, ila wameendelea tu Kudinda / Kukataa sijui wanataka sasa nianze Kuwalaani.
Wapige misumari tu hawana adabu
 
Genta hujawahi kuwa Chawa na naamini hautawahi kuwa Chawa wa Mtu yeyote.
Lakini Kwa hili la Kramo, aidha Kwa makusudi au Kwa kutokujua umejikuta unatumika kuficha madhaifu ya viongozi waliofanya usajili. Kramo ni injury prone na maneno ya Ahmed Ally juzi kwamba alitoka Asec akiwa na jeraha la goti ni sahihi na yanathibitisha watu wasivyo makini kwenye usajili. Viongozi wanasajili mchezaji Kwanza halafu ndo wanampeleka kwenye vipimo wakati malipo yake ya awali na manunuzi kwenye timu yake mama yalishafanyika. Hili limefanyika pia Kwa mchezaji mmoja (Kipenzi chako) ambaye Kwa Sasa ili kuficha udhaifu huo anachezeshwa dakika 25 Hadi 35 per match Hadi ukaanza kupiga kelele kwamba anabaniwa. Lakini ukweli ni kwamba tunampunguzia Muda wa kutumika na tunahakikisha anaingia Muda àmbao timu zimeshachoka na ameshauriwa asicheze Kwa kukamia hiyo kazi amuachie "Kiungo Punda". Yeye ni kupokea na kutoa, na pass za mbaaali.
Kuna mtu alicomment kuwa pacome alimstua hersi kuwa huyu mtu ni injury amuache

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
tuliambiwa timu ina scouting tena shabiki mzungu. mwisho tukaona timu yenye scouting inaiba wachezaji AIRPORT
HAHAHAHAHAH. MTU MWEUSI ANA SAFARI NDEFU SANA
 
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.

Wape tiba antibiotic
 
Back
Top Bottom