Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

Hahahaaa. Sijawahi iona hii Id mdogo wangu.

Mana nimevuta hisia fulani hivi. Uuwiii. Inabidi aje atupe maana.

Cc. Sinyanyuki Niueni.
Ipo My Dada.. Aliwahi kuja na uzi wake hapa.. kila mtu alikuwa anacheka ID yake..

Naweza kuelewa hisia uliyovuta... Sinyanyukiiii... niuweniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…