Digging deeper
JF-Expert Member
- Jul 15, 2020
- 787
- 512
- Thread starter
-
- #41
Sawa mkuu jf ina mambo mengi ambayo uwezi kupata kokoteHy avatar niliipata humu JF na tangu nimejiunga jf mpaka leo cjawah kubadili hy avatar, nilibadi I'd lakini avatar ikabaki hy hy
Hahahahahah jf idumuMimi ni ya huyu Jana Ulirudi Usiku sijui anamuambiaga nani π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mimi financial services siyo pisi kali! Ni mbovu tu π€Apia
Idumu kwa kweli π€£π€£ππHahahahahah jf idumu
kuna vitu unavipata humu uwezi kupata kokoteππIdumu kwa kweli π€£π€£ππ
Kuna id kibao siku jizi sizioni. Husninyo Balantanda mzee wa zilipendwa. juve2012 mzee wa kutulisha matango pori kwenye uzi wa C.T.U na kisa cha Rockfellers.
Jason Bourne na kisa cha mwakΓ½embe. Hutaki unaacha. Braza'ngu Mourinho na club Γ½ake iliΓ½ojaa fitina Bianconeri.
Kwa kifupi wapo wengi ila nadhani wanapita tu na kucheki nyuzi na kuishia kusoma tu.
Watu wabunifuπππKuna hizi Id jamani nashindwa kuelewa waliwaza niniππ
MENO YA KUKU
Breki ya Kenge
I love you Jfπ
Ukitufata dm unakuja na dough ama maneno maneno tu? Nijibu nikutaje mkuu πPis itakayotaja ID yangu naifata dm leoleo.
unachangamkia fursa mkuuPis itakayotaja ID yangu naifata dm leoleo.
Unamuita nyani ngabu? Lazima amaind kama haijui jfππMimi i find pronunciation ya Nyani Ngabu na Ambiele Kiviele to be so funny... basi pisi yangu ikinizengua naiita ivyo ina react kinoma... some sort of chaotic which ends to decent screwingππ€©
Utatokea uzi mwingine, hautajuta.Ukitufata dm unakuja na dough ama maneno maneno tu? Nijibu nikutaje mkuu [emoji23]
Mwindaji hachokiunachangamkia fursa mkuu
πngoja nikutaje Mafiningo pure African maana si kwa rangi hiyo kwenye dp kama vile unaoga oil mkuuππUtatokea uzi mwingine, hautajuta.
sawa kiongozi nakutakia safari njemaMwindaji hachoki
kinachokutenganisha weww na chaputa ni pesa tuπ€£πππ Ww jamaa πππ Asante kwa kuniona, kuhusu kuchekesha binafsi cjui nisemaje ila ww ni mtu wa tatu naona unasema nachekesha na n kweli nilibadi I'd kutoka (Mbaga Jr) lakini kuna watu bado wananifahamu.
Nakumbuka nilivobadili I'd kuna jamaa akaona comment yangu kwenye uzi fulani nasifia punyeto bc akaniambia anaupenda/unamchekesha uzi wangu flani hv uliokuwa unaitwa 'jinsi ya kusafisha uume' ambao niliandika nikiwa na I'd ya zamani lakini jamaa akanikumbuka japokuwa nilibadi I'd.
Nakukubali mkuu π