G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke.
Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na kusema ni vijidrama. Mambo ya kinyama kusema kweli.
Ndiye Rais ambaye kiongozi wa kidini kashambuliwa na amekaa kimya kama vile hakuna kitu. Ubinadamu gani huu?
Kama wewe unakubaliana na sera za Rais Samia kuhusu masuala ya haki za binadamu nenda mbio ukapimwe akili maana huna utimamu.
La kusema ni kwamba watauawa na kupotea wengi ila hawataisha na watainuliwa wengine.