Kabisa.Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke.
Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na kusema ni vijidrama. Mambo ya kinyama kusema kweli.
Ndiye Rais ambaye kiongozi wa kidini kashambuliwa na amekaa kimya kama vile hakuna kitu. Ubinadamu gani huu?
Kama wewe unakubaliana na sera za Rais Samia kuhusu masuala ya haki za binadamu nenda mbio ukapimwe akili maana huna utimamu.
La kusema ni kwamba watauawa na kupotea wengi ila hawataisha na watainuliwa wengine.
Mama anaupiga mwingiRais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke.
Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na kusema ni vijidrama. Mambo ya kinyama kusema kweli.
Ndiye Rais ambaye kiongozi wa kidini kashambuliwa na amekaa kimya kama vile hakuna kitu. Ubinadamu gani huu?
Kama wewe unakubaliana na sera za Rais Samia kuhusu masuala ya haki za binadamu nenda mbio ukapimwe akili maana huna utimamu.
La kusema ni kwamba watauawa na kupotea wengi ila hawataisha na watainuliwa wengine.
Mpaka umeweka picha Yake inaonekana unamkubaliKinachoniuma Mimi ni kuwa huyu mzanzibar anatubinya sana watanganyika mbaya zaidi sasa kaingia kutaka kuwauwa makasisi wetu.
Huyu mtu aliyepata urais wa kurithi anataka kutuletea machafuko Tanganyika yeye akimbilie Oman,moyo wangu unaumia sana nikiona haya yanaendelea.hakika amevuka mipaka
Niliwaonya watu kuhusu ben saa8 kuhusu mbowe na chadema...niliwaambia watu kuwa mbowe siyo mtu mzuri ...watu wapumbavu wa chadema wakanikashifu ....leo hii mbowe ajali chochote kuhusu yanayo endelea na kundi lake ....kuna karata 2 tu chadema ilicheza vizuri moja kumtoa mbowe kitini mbili kugomea uchaguzi ...ila bado kuna watu ndani ya chadema inatakiwa kufukuzwa haraka sana...kabla ya miezi miwili toka sasaRais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke.