Wewe mwanaJamiiForums unayekubaliana na sera za Rais Samia kuhusu haki za binadamu unajidanganya

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Rais Samia ndiye kiongozi wa ajabu tumewahi kushuhudia na mbaya sana, mbaya sana ni mwanamke.

Ndiye kiongozi ambaye mtu anapotea au kuuawa kwa mazingira tatanishi ya kisiasa kisha anakuja na kusema ni vijidrama. Mambo ya kinyama kusema kweli.

Ndiye Rais ambaye kiongozi wa kidini kashambuliwa na amekaa kimya kama vile hakuna kitu. Ubinadamu gani huu?

Kama wewe unakubaliana na sera za Rais Samia kuhusu masuala ya haki za binadamu nenda mbio ukapimwe akili maana huna utimamu.

La kusema ni kwamba watauawa na kupotea wengi ila hawataisha na watainuliwa wengine.
 
Huyu mama ni shetani zaidi ya magufuli na bora hata magufuli alikuwa anasema sema huyu ni kibri na jeuri anaua na kukaa kimya ni hatari zaidi. Wanao teketea ni watanganyika na sio wazanzibar.
 
Kinachoniuma Mimi ni kuwa huyu mzanzibar anatubinya sana watanganyika mbaya zaidi sasa kaingia kutaka kuwauwa makasisi wetu.


Huyu mtu aliyepata urais wa kurithi anataka kutuletea machafuko Tanganyika yeye akimbilie Oman,moyo wangu unaumia sana nikiona haya yanaendelea.hakika amevuka mipaka
 
Mi nachojua anaweza akatawala awamu zake zote ila sidhani kama itakuja kutokea mistake ya kutawaliwa na mwanamke tena hapa Tanzania.. yani sifikirii kuna funzo limepatikana.
 
Kuna watu walikuwa wanatamka kwa midomo mipana kwamba wanataka siasa ngumu, kwamba Mbowe alikuwa laini. Hiyo ndiyo menu mliyoagiza jikoni, and it's served as per your request
 
Kwahy ulitaka tukubaliane na wewe au
 
# she must go!
#samiastepdown!
 
Huyu mama ni shetani Sana

Magufuli pamoja na kuwa mkali lakini alikemea vikali Lissu kushambuliwa kwa risasi

Huyu Bibi naisi ni mchawi huyu

Lina roho mbaya halafu jizi
 

Ingekuwa Simba na Yanga .... tayari angetuma tweet hata usiku wa manane.
 
Mimi Mtoto wa Shule nakubaliana nazo kwa asilimia mia!
 
Mwanamke mshenzi kbs ktk uso wa duniaa..alaaniwe yeue na vizazi vyale..
Stupid womn
 
Tulimlaumu sana Magufuli, lakini huyu mama akilinganishwa na Magufuli, Magufuli ataonekana ni malaika.

Huyu mama ni muuaji hasa, na anaweza kukuua hata kwa jambo dogo kabisa.

Kwake kuua watu ndiyo anajiona kuwa ni kiongozi jasiri, na ndivyo yanavyomdanganya mashetani yanayomzunguka.

Kwa kweli nchi haijawahi kumpata kiongozi shetani wa kiwango cha huyu mama. Watu wanauawa kama kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…