Wewe mwanaJamiiForums unayekubaliana na sera za Rais Samia kuhusu haki za binadamu unajidanganya

Kabisa.
 
Mama anaupiga mwingi
 
M
Mpaka umeweka picha Yake inaonekana unamkubali
 
Niliwaonya watu kuhusu ben saa8 kuhusu mbowe na chadema...niliwaambia watu kuwa mbowe siyo mtu mzuri ...watu wapumbavu wa chadema wakanikashifu ....leo hii mbowe ajali chochote kuhusu yanayo endelea na kundi lake ....kuna karata 2 tu chadema ilicheza vizuri moja kumtoa mbowe kitini mbili kugomea uchaguzi ...ila bado kuna watu ndani ya chadema inatakiwa kufukuzwa haraka sana...kabla ya miezi miwili toka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…