Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

Nina Uhakika Umeshalewa Njwiiii...Hii ni pombe inakuendesha
 
Mambo zenu wakuu?

Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.

Mtanishukuru baadae.
Siyo kweli,Malaya wengi ni wale ambao ni walevi kwanza.sijui kwenye ulevi wanawekaga nini ambacho kinaongeza tabia ya umalaya.Mwanamke ukiwa na mume ambaye siyo mlevi mtunze vizuri hiyo ni bahati
 
Mambo zenu wakuu?

Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.

Mtanishukuru baadae.
Ama kweli taifa linapitia kipindi kigumu sana. Mpaka akili zimechoka kufikiri.
 
Mambo zenu wakuu?

Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.

Mtanishukuru baadae.
Na mifano tunayo, mingi mno haina hata idadi, nakubalina na usemi "Simba mwenda pole ndiyo mla nyama..."
Halafu wanajifanya wapole, ila wanaviburi vya kukata shoka...
 
Pombe ni tamu jamani imagine unapata serengeti lager ya baridi
 
Back
Top Bottom