Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

Wewe mwanamke, kama una mwanaume asiyetumia pombe, mwogope sana huyo

Si kweli umalaya ni tabia tu Wala haihusiki na pombe, Mimi mwenyewe sinywi pombe na sio Malaya marafiki zangu walevi na ni milaya mfanowe hakuna
Jomoneeeeeeeeeeeeh best nimekumic hatareeeeeeeeh, lol
 
Mambo zenu wakuu?

Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.

Mtanishukuru baadae.
Vijana wengi walevi huishia kuathirika ka kufa masikin.
 
Ukiwa unakosolewa kubali kukosolewa, unapo jitutumua ndoyo unazidi kukosea. Tamko "Hila" umeliweka sehemu ambayo si sahihi, na halileti maana iliyo kusudiwa.

Tamko "Ila" linaingia katika dhati ya kitu chenyewe na tamko "Hila" huwa kama tabia anayo sifika nayo mtu. Wewe umelitumia tamko "hila" kwa dhati ya kitu na si kama habari.

Nithibitishie ya kuwa Musa alitunga sheria,acha kujitutumua kwa mambo usiyo yajua.

Niwekee matini ya andiko toka kwa nabii Musa akisema "Mimi nimekataza kadha... :.

Makatazo ya Pombe kuwepo katika vitabu vya Dini haimaanishi ya kuwa mamabii wametunga hizo sheria mpaka utupe ushahidi, na hili huliwezi mpaka unakufa.

Dhidi ya UHALISIA. Mpaka unakufa,kutetea kwako kunathibitisha ya kuwa huna akili iliyo sawa, yaani una matatizo ya akili. Huwezi kuwa mzima na timamu wa akili kukitetea kitu ambacho kinakudhuru.

Nimecheka sana, inaonekana uko tungi maana unaandika ujinga,sasa hicho kisicho na uhai mbona kina kifanya ulewe na uburudike kama ulivyo kiri huko juu, maana yake kina athari unapo kinywa. Kijana acha Pombe, naona unaandika ujinga na hii ni athari ya pombe inayo thibitisha uhayawani wako.

Hoja yangu huwezi kuijihi wala hutaweza kuijibi na ulichokiandika kimethibtisha hilo.

Kinachosababisha ulewe ukinywa pombe ni nini ? Sasa mbona jili dogo linakushinda kung'amua mzee, je hilo kubwa utaliweza kweli ?

Huo umakini uko wapi, kama unashindwa kutofautisha au kujua ya kuwa Pombe ina athari ?

Mheshimiwa, Mimi ni nani mpaka nikatae kukosolewa wakati najua kuwa kukosolewa ni sehemu ya kujifunza na pia najua kuwa hapa Duniani hakuna asiyekosea . Mimi nakataa pale mtu anaponikosoa kwa kunipotosha zaidi. wewe kinachokuchanganya kwa hayo maneno ni lahaja tu.

Kuhusu uthibitisho wa Mussa kutunga sheria siwezi kuuthibitisha kwa maandishi maana hapa sina kitabu, lakini kwa ushahidi wa mazingira alitunga yeye na ndiyo maana ikaitwa sheria ya Mussa au kwa kifupi Torati.

Makatazo ya Pombe kuwepo katika vitabu vya dini imetokana na sheria za Manabii (ambao pia walikuwa viongozi wa kisiasa wakati huo), walipotunga sheria hizo/makatazo hayo walitumia jina la MUNGU ili kuwatisha na kuwafanya wananchi wao wawe na mazingatio katika makatazo hayo. Lakini kamwe MUNGU hajawahi kutunga sheria.

Unaposema sina akili iliyo sawa nashindwa kukuelewa (sijui umetumia kipimo gani), au wewe mtu akitofautiana na mtazamo wako ndiyo anakuwa hana akili iliyo sawa!?

Kuhusu madhara, ni kweli pombe ina madhara kwa mtu mmoja mmoja (hasa wale wasiojielewa) lakini ina faida kubwa hasa upande wa uchumi, serikali inapata sehemu ya mapato yatokanayo na vileo kama kodi, imewezesha baadhi ya watu kupata ajira za moja kwa moja kupitia makampuni na viwanda vya pombe pia imetoa ajira za reja reja kupitia kwa wenye kumiliki Bars, Pub na hotel kwa kuajiri wafanya kazi, hivyo kuwezesha mzunguko wa fedha na kukuza uchumi. Sasa ukiwa na akili yenye utulivu utaona kuwa faida ni kubwa kuliko madhara.

Pia kwa upande wa madhara si pombe tu, vipo vingi vyenye madhara lakini bado ni muhimu katika maisha yetu ya kila siku jaribu kuwaza kwa utulivu maana hata nyumbani kwako vipo.

Nafurahi kusikia umecheka kutokana na andiko langu hivyo umeongeza siku za kuishi, (Ahsante MUNGU) lakini tambua kuwa mimi siyo mlevi (mlevi ni mtu anayetawaliwa na pombe, mimi naitawala), pia siyo jambo jema kumuita "Hayawani" mtu anayetofautiana mtazamo na wewe maana hayo ni matusi. Hata vyombo vya usafiri (ukiacha farasi na punda) havina uhai ila vinatusaidia na pia vinatudhuru lakini hatuviachi.

Kinachokufanya ulewe ukinywa pombe ni kitendo cha kunywa pombe nyingi kupita uwezo wako (over dose) ni kama vile kinachokufanya uvimbiwe ukila chakula kupita uwezo wako, kuhusu umakini nimeshakujibu hapo juu ibara ya nne (04). Niambie kubwa nililoshindwa kung'amua ni lipi!?

Hoja yako ni nyepesi na nimeijibu (japo si kama upendavyo wewe)
 
Sasa wewe mwanaume kweli, unaanzishaje mada ya kupondea wanaume wenzako, unadhan hao wanawake wote utawamaliza mwenyewe?

Mimi ninachofahamu pombe na umalaya huwa vinaenda sambamba, ni walevi hao hao ambao wanabena mabaamedi kila siku!
Kwann ma bar medi ni malaya? Nadhani ni kazi kama kazi zingine tuwaheshimu mhudumu niongeze🥃
 
Mambo zenu wakuu?

Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.

Mtanishukuru baadae.
Unataka kuhalalisha tabia yako ya kupiga maji na umalaya huku ukiponda tabia wenye tabia njema na weledi umesha fail.
 
Si kweli umalaya ni tabia tu Wala haihusiki na pombe, Mimi mwenyewe sinywi pombe na sio Malaya marafiki zangu walevi na ni milaya mfanowe hakuna
Nipe no zao niwashauri , Ila wawe jinsia ya kike
 
Si kweli umalaya ni tabia tu Wala haihusiki na pombe, Mimi mwenyewe sinywi pombe na sio Malaya marafiki zangu walevi na ni milaya mfanowe hakuna
Mkuu niunganishe kwa hao rafiki zako wa kike malaya.
 
Si kweli umalaya ni tabia tu Wala haihusiki na pombe, Mimi mwenyewe sinywi pombe na sio Malaya marafiki zangu walevi na ni milaya mfanowe hakuna
😳😳😳😳 Kwani we ni mwanaume?

#YNWA
 
Mambo zenu wakuu?

Natoa nasaha kwa wanawake,kama uko kwenye mahusiano na mwanaume asiyekunywa pombe muogope sana.mostly huwa ni malaya zaid ya Sisi tunaopiga maji.

Mtanishukuru baadae.
Mm nimeokoka na sina mchepuko hata wakusingizia tu. Naww acha pombe uokoke pia ujazwe Roho wa Bwana uone kama utasumbuka tena
 
Walevi bwana.... They try so hard kuaminisha watu kuwa wasio walevi wana shida...hii inaonyesha ni kiasi gani hawapo comfortable na mipombe yao
 
Walevi bwana.... They try so hard kuaminisha watu kuwa wasio walevi wana shida...hii inaonyesha ni kiasi gani hawapo comfortable na mipombe yao
Kwan we hupigi vyombo mkuu?
 
Mm nimeokoka na sina mchepuko hata wakusingizia tu. Naww acha pombe uokoke pia ujazwe Roho wa Bwana uone kama utasumbuka tena
Unaokokea dunian mkuu?me nitaokokea mbinguni
 
Back
Top Bottom