RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 2,021
- 4,488
Mkuu upo sahihi 100% , wateja wakuu wa malaya aswa wanaojiuza ni walevi
Sasa wewe mwanaume kweli, unaanzishaje mada ya kupondea wanaume wenzako, unadhan hao wanawake wote utawamaliza mwenyewe?
Mimi ninachofahamu pombe na umalaya huwa vinaenda sambamba, ni walevi hao hao ambao wanabena mabaamedi kila siku!