mash'AllahMimi mzima kabisa
Acha kukariri maisha, kunywa pombe siyo dhambi na hakuna mahali palipoandikwa kuwa asiyekunywa pombe ndiye ataenda mbinguni!!!Walevi kwa kujitetea hamjambo acha pombe Okoka Yesu anakupenda
Analazimisha hisia zake ziwe ukweli, jambo ambalo haliwezi kukubalika machoni pa wastaarabu!!!Uzi waliandikiwa wanawake ila wanaume mmejaa kuushambulia[emoji23]
[emoji120]mash'Allah
Achilia mbali uwepo wa maandiko yanayo onyesha ubaya na dhambi ya kunywa kunywa Pombe,ila kama unaitumia akili yako vizuri na kutafakari kiundani utaona ya kuwa Pombe ni mbaya na unywaji wa Pombe ni jambo baya na ni dhambi mbele za Mola.Acha kukariri maisha, kunywa pombe siyo dhambi na hakuna mahali palipoandikwa kuwa asiyekunywa pombe ndiye ataenda mbinguni!!!