Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Wake za manara walimuacha kwa pamoja, wake za Dr mwaka pia hivyo hivyo......Ndio faida ya kuwa na wake wengi, hawawezi kukuacha wote kwa wakati mmoja. Ahamie tu kwa nyumba ndogo, kama hana aanze upya ila kwa kutumia akili ya hali ya juu kwa kuwa ni wale wale.
HahaWake za manara walimuacha kwa pamoja, wake za Dr mwaka pia hivyo hivyo......
Tafuta vibarua Mrisho maisha yaendelee.....Amekuja hapa tena muda huu, changamoto siwafahamu ndugu zake ili tumsadie kwakuwa hana simu
Kuna story imerukwa,
Huyo jamaa hakuwa na vitega uchumi vyake? Huyo jamaa hajaajiriwa? Mana ni rahisi kuporwa kiwanja ila sio kazi au biashara yako
Huyu kwa nafasi yake, yaan mkewe hata akusanye mshahara wa miaka10 bado hamfikii, nilichokiona alijisahau na kumuamini mwanamke hatimae kuna dalili za kupigwa na kitu kizitoAcheni
Hapa umeleta majungu tu, fanyeni kazi mjipatie kipato, unaishi kwa kumtegemea mwanamke kisha unakuja kulialia hapa, yaani uwe na kipato chako na vyote hivyo umetafuta kwa juhudi zako halafu ulete upuuzinkama hui, vijana acheni UMALIOO mtakuja kufa shenzi kabisa
Ungetuliza kichwa ungesoma ungeelewa vizuri sana na ndio maana nikatoa ushauri wa aina mbiliUlikuwa na haraka ya kuwatupia lawama wanawake hadi hujaeleweka. Tulia kama kuachwa ushaachwa, haya tuelezee kinagaubaga bila kuwa bias, kipi kimekusibu?
Huyu anatoka kanda ya ziwa, si unajua kwa wanawake ndugu zetu walivyoNaweza kubashiri kuwa huyo jamaa ni Msukuma na Huyo Mwanamke ni Mweupe sana...wasukuma kwa mwanamke mweupe wanakuga kama hamnazo fulani hivi.
Sasa kama ana gari na pesa benk imekuwaje mpaka zote Mwanamke akazicontrol..
Sijui kama naeleweka...ukishakuwa mtumwa wa Mbunye kama Mwanaume uwe tayari wanawake wataku control na utapoteza mwelekeo.
Wanaume waliofanikiwa kwa jambo lolote kitu cha kwanza ni kujicontrol mambo ya Mbuye
RC Mwanza et al
Sisi tunao waamini kwa miongo kadhaa sasa tufanye sassmwanamke ambae sio mama yako mzazi si wakumwamini kwa lolote.
Haraka ya kutulaumu hata akasahau anachotakiwa kutuelezaπ€£π€£π€£π π π π alikuwa na haraka ya kufanya je?
π€£π€£π€£π€£πππUngetuliza kichwa ungesoma ungeelewa vizuri sana na ndio maana nikatoa ushauri wa aina mbili
1:Nilisisitiza kwamba wanaume wasijisahau na kuwafanya wanawake watawale kila kitu, mwishowe linatoka pigo kama la huyu jamaa.
2:Kama wakristo wangekuwa na mfumo wa taraka, maana hawa mpaka muda wangekuwa wameshatengana, ila kwa kuwa hakuna mfumo wa talaka ndio kama tunavyoona hali halisi.
Labda nikwambie mimi ni muislam, na ndio maana huwezi kuta upuuzi huu kwa waislam, ningelikuwa mimi nishatoa talaka3 natafuta amani ya moyo.
SOMA, ELEWA, SIO KILA JAMBO UNAJIBU KWA MIHEMKO, WENYE AKILI TIMAMU WAMEELEWA VIZURI TU ILA NYIE MLISOMEA UJINGA HAMKOSEKANI
Kuna makahaba....Skuizi hakuna mahaba
Umeongea point sanaβ¦πππSasa kama anataka uhuru wa kufirwa Si umfire mwenyewe?
Ni mpaka maji waite mma k zinawanyolosa kisawasawa mwingine jana kamwagwa ubongo, hatujajinyoosha vizuri nara paap muheshimiwa katumbuka mwingine huyu kashakuwa chizi fresh na wakizubaa ndo imetoka hiyoKuna mtu humu alimshauri mwingine, asimtoe machozi mwanaume mwenzao. Bora amlize mwanamke, sasa limekuja hili.
Dada Mtangazaji umepigaje hapo...