Ungetuliza kichwa ungesoma ungeelewa vizuri sana na ndio maana nikatoa ushauri wa aina mbili
1:Nilisisitiza kwamba wanaume wasijisahau na kuwafanya wanawake watawale kila kitu, mwishowe linatoka pigo kama la huyu jamaa.
2:Kama wakristo wangekuwa na mfumo wa taraka, maana hawa mpaka muda wangekuwa wameshatengana, ila kwa kuwa hakuna mfumo wa talaka ndio kama tunavyoona hali halisi.
Labda nikwambie mimi ni muislam, na ndio maana huwezi kuta upuuzi huu kwa waislam, ningelikuwa mimi nishatoa talaka3 natafuta amani ya moyo.
SOMA, ELEWA, SIO KILA JAMBO UNAJIBU KWA MIHEMKO, WENYE AKILI TIMAMU WAMEELEWA VIZURI TU ILA NYIE MLISOMEA UJINGA HAMKOSEKANI