Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Wewe mwanamke kuwa na huruma kwa mumeo

Huyu jamaa hakuajiriwa, ila anafanya tender zake hasa kwenye petrol station anafunga camera, anatengeneza software za biashara, makanisani, yaani mkuu huyu mtu anatenda mpka nje ya nchi yaani anaunganisha computer ya Ghana na hapa anapiga kazi hata chini ya mti.

Anatenda za kusambaza sweta, uniform kuanzia Tanzania mpka Kenya, mkuu sijui nikwambiaje kuhusu huyu mtu.

Alikuwa na nyumba mbili dar, nasikia kauza, alikuwa na Guest pale Tabora, ngoja nitafute jina nitaliweka hapa

NB:HAKUAJIRIWA NA HATAKI KUSIKIA NENO AJIRA, KWA SABABU ANATENGENEZA FEDHA NYINGI SANA
Kuna story imerukwa,
Huyo jamaa hakuwa na vitega uchumi vyake? Huyo jamaa hajaajiriwa? Mana ni rahisi kuporwa kiwanja ila sio kazi au biashara yako
 
Acheni

Hapa umeleta majungu tu, fanyeni kazi mjipatie kipato, unaishi kwa kumtegemea mwanamke kisha unakuja kulialia hapa, yaani uwe na kipato chako na vyote hivyo umetafuta kwa juhudi zako halafu ulete upuuzinkama hui, vijana acheni UMALIOO mtakuja kufa shenzi kabisa
Huyu kwa nafasi yake, yaan mkewe hata akusanye mshahara wa miaka10 bado hamfikii, nilichokiona alijisahau na kumuamini mwanamke hatimae kuna dalili za kupigwa na kitu kizito
 
Ulikuwa na haraka ya kuwatupia lawama wanawake hadi hujaeleweka. Tulia kama kuachwa ushaachwa, haya tuelezee kinagaubaga bila kuwa bias, kipi kimekusibu?
Ungetuliza kichwa ungesoma ungeelewa vizuri sana na ndio maana nikatoa ushauri wa aina mbili

1:Nilisisitiza kwamba wanaume wasijisahau na kuwafanya wanawake watawale kila kitu, mwishowe linatoka pigo kama la huyu jamaa.

2:Kama wakristo wangekuwa na mfumo wa taraka, maana hawa mpaka muda wangekuwa wameshatengana, ila kwa kuwa hakuna mfumo wa talaka ndio kama tunavyoona hali halisi.

Labda nikwambie mimi ni muislam, na ndio maana huwezi kuta upuuzi huu kwa waislam, ningelikuwa mimi nishatoa talaka3 natafuta amani ya moyo.

SOMA, ELEWA, SIO KILA JAMBO UNAJIBU KWA MIHEMKO, WENYE AKILI TIMAMU WAMEELEWA VIZURI TU ILA NYIE MLISOMEA UJINGA HAMKOSEKANI
 
Huy
Naweza kubashiri kuwa huyo jamaa ni Msukuma na Huyo Mwanamke ni Mweupe sana...wasukuma kwa mwanamke mweupe wanakuga kama hamnazo fulani hivi.

Sasa kama ana gari na pesa benk imekuwaje mpaka zote Mwanamke akazicontrol..

Sijui kama naeleweka...ukishakuwa mtumwa wa Mbunye kama Mwanaume uwe tayari wanawake wataku control na utapoteza mwelekeo.

Wanaume waliofanikiwa kwa jambo lolote kitu cha kwanza ni kujicontrol mambo ya Mbuye

RC Mwanza et al
Huyu anatoka kanda ya ziwa, si unajua kwa wanawake ndugu zetu walivyo
 
Ungetuliza kichwa ungesoma ungeelewa vizuri sana na ndio maana nikatoa ushauri wa aina mbili

1:Nilisisitiza kwamba wanaume wasijisahau na kuwafanya wanawake watawale kila kitu, mwishowe linatoka pigo kama la huyu jamaa.

2:Kama wakristo wangekuwa na mfumo wa taraka, maana hawa mpaka muda wangekuwa wameshatengana, ila kwa kuwa hakuna mfumo wa talaka ndio kama tunavyoona hali halisi.

Labda nikwambie mimi ni muislam, na ndio maana huwezi kuta upuuzi huu kwa waislam, ningelikuwa mimi nishatoa talaka3 natafuta amani ya moyo.

SOMA, ELEWA, SIO KILA JAMBO UNAJIBU KWA MIHEMKO, WENYE AKILI TIMAMU WAMEELEWA VIZURI TU ILA NYIE MLISOMEA UJINGA HAMKOSEKANI
🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Weeeh! Nitulie nisome kwa umakini kwani mkataba wa Dp world huo🙆🙆🙆🙆

Mkuu pole sana, usijali hata hilo litapita na hasira zitakuisha.
 
Kuna mtu humu alimshauri mwingine, asimtoe machozi mwanaume mwenzao. Bora amlize mwanamke, sasa limekuja hili.
Dada Mtangazaji umepigaje hapo...
Ni mpaka maji waite mma k zinawanyolosa kisawasawa mwingine jana kamwagwa ubongo, hatujajinyoosha vizuri nara paap muheshimiwa katumbuka mwingine huyu kashakuwa chizi fresh na wakizubaa ndo imetoka hiyo
 
Back
Top Bottom