Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Wanawake wa siku hizi MASHETANI tu.
Mmejawa na ROHO MBAYA ZA TAMAA.
Je yule jamaa aliyeuliwa na mkewe Morogoro kisa bwana wake bodaboda amemkosea nini mkewe!?
Wanawake mmejaa tamaa sana na hizi tamaa zitawa back stab siku moja.
Mwanangu anasemaga mcho mchondoKuna mtu humu alimshauri mwingine, asimtoe machozi mwanaume mwenzao. Bora amlize mwanamke, sasa limekuja hili.
Dada Mtangazaji umepigaje hapo...
🤣🤣🤣🤣My friend unamuamini mwanamke!?
Kheri umuamini MAMBA na uishi nae ndani ukimlisha atakuheshimu ila sio MWANAMKE.
Tena hasa wanawake wa zama hizi.
Wengi wao wanakimbilia sana mali.
Au kapulizwa?Amekuja hapa tena muda huu, changamoto siwafahamu ndugu zake ili tumsadie kwakuwa hana simu
I feel kuna a part of the story hatujapewa. Wengi tunakimbilia kutoa hukumu bila kujua yaliyojiri behind the scene🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Weeeh! Nitulie nisome kwa umakini kwani mkataba wa Dp world huo🙆🙆🙆🙆
Mkuu pole sana, usijali hata hilo litapita na hasira zitakuisha.
Kweli kabisa, na lengo lake lilikuwa kukimbilia kutoa lawama thats why story imepinda pinda.I feel kuna a part of the story hatujapewa. Wengi tunakimbilia kutoa hukumu bila kujua yaliyojiri behind the scene
Hujui kwanini kachitiwa halafu hujui waalimu wanakulana wenyewe , wanakula wanafunzi , wanakula hadi wananchi halafu mke kakasirika kaua mume kwa kumchoka anamuaibisha . Nyie hamfai siku hizi mnatesa watu sanaWanawake wa siku hizi MASHETANI tu.
Mmejawa na ROHO MBAYA ZA TAMAA.
Je yule jamaa aliyeuliwa na mkewe Morogoro kisa bwana wake bodaboda amemkosea nini mkewe!?
Wanawake mmejaa tamaa sana na hizi tamaa zitawa back stab siku moja.
Unaongea assumptions nyingi sana.Hujui kwanini kachitiwa halafu hujui waalimu wanakulana wenyewe , wanakula wanafunzi , wanakula hadi wananchi halafu mke kakasirika kaua mume kwa kumchoka anamuaibisha . Nyie hamfai siku hizi mnatesa watu sana
Kwenye hili ndo namkubaligi sana mzee wangu hajawahi kulegeza.....kuna kipindi niliona kama anamuonea mama ila sasa hivi ndo naelewa jinsi gani ya kuishi na wanawakeWanawake ukilegeza kidogo wanakushangaza
Ndivyo inavyotakiwa ,niliwahi kulegeza leo Sina hata mtoto yeyote kwenye upeo wa mboni zanguKwenye hili ndo namkubaligi sana mzee wangu hajawahi kulegeza.....kuna kipindi niliona kama anamuonea mama ila sasa hivi ndo naelewa jinsi gani ya kuishi na wanawake
daah pole sana mkuu....hivi viumbe ukiingia kwenye 18 zao havinaga hurumaNdivyo inavyotakiwa ,niliwahi kulegeza leo Sina hata mtoto yeyote kwenye upeo wa mboni zangu
Naunga mkono hojaKuna makahaba....
Wazungu watachukuaUnaongea assumptions nyingi sana.
Ripoti na uchunguzi unasema huyo mwanamke amekua akitembea na huyo bodaboda muda sana na imethibitishwa.
Mbona yeye mwanamke katika kukiri kwake hakusema kuwa alisalitiwa kabla!?
Wanawake wa siku hizi feminism na tamaa ya mali vitawaponza.
Mie sina huruma na mwanamke akizingua stuli ya kichwa.
Mmezidi sana aisee mnachosha tena sana.
Ndio maana mmebaki kuwa masingle mother kwa kiasi kikubwa.
Na mtakua masingle maza wengi mpaka mkome.
ila zinazoongoza ni za hao vibwengu wenye vidiploma!Hata asiekua na kazi bado ni kipengele, in short maisha magum kwa sasa ni maisha ya ndoa
ila zinazoongoza ni za hao vibwengu wenye vidiploma!
SahihiKuna story imerukwa,
Huyo jamaa hakuwa na vitega uchumi vyake? Huyo jamaa hajaajiriwa? Mana ni rahisi kuporwa kiwanja ila sio kazi au biashara yako
Wewe unaniniila zinazoongoza ni za hao vibwengu wenye vidiploma!