Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Nasema hivi wewe mwanamke unaetaka kuwa na mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku huyo ndie atakaekusikiliza na kubembeleza. Mimi mwanaume mwenye future sina muda huo 😁😁 ninatafutwa na wengi. Mimi mwanaume mwenye assets na mwenye muonekano mzuri ninapendwa na wengi ukitaka niwe wa peke yako utajiumiza roho buuuure