Wewe mwanamke unaetaka mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Nasema hivi wewe mwanamke unaetaka kuwa na mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku huyo ndie atakaekusikiliza na kubembeleza. Mimi mwanaume mwenye future sina muda huo 😁😁 ninatafutwa na wengi. Mimi mwanaume mwenye assets na mwenye muonekano mzuri ninapendwa na wengi ukitaka niwe wa peke yako utajiumiza roho buuuure
 
Mm najua mwisho wa 4 sijawahi taka wa pekeyangu lkn aoe kabisa tufue wote majeans πŸ˜€
Sio kufua ma jeans na kunibeba muwe mnashilikiana kunipeleka bafuni kunisugua mgongo kenge nyinyi😁
 
DJ
Ongeza volume✍️✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…