Wewe mwanamke unaetaka mwanaume wa peke yako tafuta mwanaume kapuku

Yaan bhana acha tu

MaUTI na makaswende ndo yanayonishika breki lakin kila ukizungusha shingo unakutana na watoto wako njema mpaka mapigo ya moyo yanaenda mbio

Afu ajabu wako free unaweza mchukua ukakaa nae hata siku nne gheto wala hawazi

Nina mpango nije nijenge nyumba ya vyumba vitatu niweke mazaga yote nitafute na matron niweke watoto hata watatu wa kutumia
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Jenga chuo kabisa
 
Ukimwi upo unauwa
 
Mimi mwanaume ninaejua kuoga na kuvaa nguo nzuri zinazoendana na wakati, sio yale ma jeans yaliyochanika magotini hapana...najua kujipulizia pafyumu, na nina exposure na dunia yangu nasema hivi siwezi kuwa na mwanamke mmoja mimi abadan.....
 
Sasa ukimpata huyo kapuku akiwa na Hela atakuwa wa wengi vilevile 😂😂
Hiyo ni tabia au ushamba wa mwanaume kupenda msururu wa wanawake au mwanaume kumdanganya mke wake.

Mimi mwanamke akiniheshimu inatosha kumpenda na kumheshimu yeye pekee yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…