πππTuseme ukweli bila kupepesa macho
Sasa swali ni moja tu: Wewe ndio unamiliki simu, au simu ndio inakumiliki wewe?
- Unalala nayo kitandani
- Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
- Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
- Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni.
- Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula anunue bundle.
Na unapokosa muda wa kuishika, unahisi kama vile kuna mtu amekuondoa kwenye βgroup la maishaβππ
nilikua nawaza hapa kutengeneza dawa ya watu wenye uraibu wa simuπππ
Hii akili uliyotumia hapa ungewaza hela si ungekuwa umevumbua njia nyingine ya kuingiza mshiko!!
πππ
Ila simu mwanangu zinatumiliki!!
πππ
Mkuu simu haiwezi kummiliki mwanadamu kwakuwa inauhitaji mkubwa kwetu kuliko tunavyoihitaji sisiπππ hapa simu inakumiliki
Safi umefafanua vemaSio simu ni internet ama online platforms/social media,
Nikipata internet hata kwenye laptop. Hii simu naiweka pembeni .