I strongly agree with you kwamba simu ina faida kubwa sana, Lakini pia ikumbukwe kuna watu wengi ambao wamekua addicted na simu in a way ambayo haiwaingizii kipato au kuwasaidia kwa namna yoyote.Usipofanya deep analysis unaweza fikiria ni uraibu (addiction) lakini ukweli simu inatumika sana kwasababu ya mabadiliko ya teknolojia. Simu ndo kila kitu kwa sasa, huwezi kaa mbali na simu. Mfano mdogo majuzi kupitia simu nimetafuta,nime bargain, nimenunua, nimesafirisha mzigo kutoka sehemu tatu tofauti kwa wakati mmoja. Simu tu hiyo. Mimi nikiwa nimetulia zangu ofisini. Meanwhile mambo mengine nikiendelea nayo ndani ya simu hiyo hiyo. So matumizi ya simu yamekuwa makubwa kutokana na technology transformation na simu hazifumiliki bali upepo wa teknolojia ndo tunavuma nao. Mobile phone is everything.
Naaam hakuna namna unakwepa kwa sasaStrongly Agree with you✅
Simu addiction ni mBadilish
Kweli kuna kipindi nilikuwa very addictedSimu addiction ni majanga
Ubusy wa kazi japo simu haikuwahi niharibia ratiba zangu.uliwezaje kutoka kwenye huo uraibu
Tuseme ukweli bila kupepesa macho
Sasa swali ni moja tu: Wewe ndio unamiliki simu, au simu ndio inakumiliki wewe?
- Unalala nayo kitandani
- Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
- Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
- Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni.
- Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula anunue bundle.
Na unapokosa muda wa kuishika, unahisi kama vile kuna mtu amekuondoa kwenye “group la maisha”😂😂